Boniface Jacob: Vituko vya Polisi wodini kwa Edger Edson Mwakabela (Sativa)

Ushahidi wa kuwa walioteka polisi uko wapi?
Polisi akikosea kuna hatua huchukuliwa

Wao polisi wanataka nao kujiridhisha kama waliomteka walikuwa polisi
Na njia mojawapo ya kujua hilo ni.kumhoji aliyetuhumu
Hapo karakana ya osterbay huwa wanakaa kina nani km sio hao police?
 
Ni upumbavu mkubwa sana kuamini polisi wanahitaji kumdhuru huyo dogo kwa style hiyo.
Unawezakuwa smart lakini mpaka ukaanza kuchukua tahadhari zisizohitajika ukaonekana mbuzi.
 
Hapo karakana ya osterbay huwa wanakaa kina nani km sio hao police?
Kijana alijuaje kwamba alitoka karakana,harafu akaenda arusha??akiwa katekwa??

Watekaji walimteka kishkaji sana haikuwa kama roma nadhani.
 
Hili suala lishaanza kuwa gumu baada ya WANASIASA kuingilia!!
 
Kijana alijuaje kwamba alitoka karakana,harafu akaenda arusha??akiwa katekwa??

Watekaji walimteka kishkaji sana haikuwa kama roma nadhani.
Kwani maelezo yake hukusikiaa? Au unajisahaulishaa?
 
Kwani maelezo yake hukusikiaa? Au unajisahaulishaa?
ndio maana watu wanataka wamhoji zaidi.

maswali ni mengi wa kutoa majibu ni yeye mhanga tu, sio mashoga zake wala masela zake.
 
ndio maana watu wanataka wamhoji zaidi.

maswali ni mengi wa kutoa majibu ni yeye mhanga tu, sio mashoga zake wala masela zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah!!
Mashoga na maselaa hapa wanakujajee? Woiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah!!
Mashoga na maselaa hapa wanakujajee? Woiiiiiih
Mashoga si marafiki wa karibu,sio mashoga kwa maana ya watu wa iphones😁
 
Tatizo kubwa kabisa ambalo lipo kwa TISS na Polisi wa Tanzania ni kwamba wanaamini kuwa ni wao tu ndio wenye uwezo wa kuweza kufanya kazi za upelelezi, na kudhani kwamba Watu wengine wote hawana uwezo wa kufanya upelelezi.
 
Dogo anajuwa kilichomsababishia msala hata wauwaji wnaweza walikuwa wamemwambia, so awe makini kifo bado kina muandama
 
Wewe ,unaonaje ungekaa kimya ,rejea hoja namba 8 na 9 , hawajakataa
 
Huyo dogo msipokuwa makini watamuua maana wanajua akipona vyema Kuna maafsa wa polisi vibarua vyao vitakuwa hatarini.

..kuna ushahidi wameacha ktk harakati za kumteka.

..ushahidi mmojawapo ni ajali iliyotokea kati ya gari iliyomteka na bodaboda.
 
Mmeambiwa subirini mgonjwa apone ile risasi ilitokea mdomoni ,sio kwenye kinyeo chako hicho na taya zako zikawa salama salimini
 
Mmeambiwa subirini mgonjwa apone ile risasi ilitokea mdomoni ,sio kwenye kinyeo chako hicho na taya zako zikawa salama salimini

..walidhani wamempiga kichwani amekufa.

..this time wasiojulikana lazima wajulikane.

..naona Rais naye kaishaona tunakoelekea siko.
 
Maranja, Polisi kama wameomba kuchukua maelezo, na edga hayupo peke yake, kuna shida gani hapo kama sio ukorofi tu? hii issue imetuuma wote ila tutulize mioyo, tuiendee kwa akili. wakati wanaandika maelezo, wewe na ndugu wa edga wapo mmekaa palepale mnasikiliza,na pengine mgonjwa atakuwa amepata memory nzuri zaidi kufafanua hata ambayo hakufafanua, na pengine na ninyi mtakuwa na picha ya nini kiliandikwa kwenye maelezo ili siku moja isijetokea polisi wakaambiwa walibadilisha maelezo.

wangekuwa wanamchukua maelezo akiwa peke yake, hata mimi ningeogopa kwamba pengine wasijempiga kitambaa cha sumu au karatasi yenye sumu. ila kama na ninyi mpo hapohapo, mbona jambo rahisi tu? kwahiyo hautaki involvement ya polisi kabisa kwenye hili suala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…