Boniface Jacob: Vituko vya Polisi wodini kwa Edger Edson Mwakabela (Sativa)

Kwa 'nature' ya TUKIO hili, Askari Polisi hawana Uhalali wowote ule wa kisheria wa kuweza kumhoji huyo mtu. Polisi ni Watuhumiwa wakubwa kwenye sakata hili, wao ndio wanapaswa kuchunguzwa Wala siyo kuchunguza.
Jeshi la Polisi lingine ndilo lenye haki ya kulichunguza Jeshi la Polisi lililolopo sasa hivi ambalo linaongozwa na huyo mkurya.
 
Hao jamaa wakiamua kuzingua, huwa wanazingua kweli. Ni kama tu kwenye lile tukio la Tundu Lissu! Eti walikuwa wanamsubiri mhusika na dereva wake ndiyo wafanye uchunguzi!!

Na ukishaona tu hizo sarakasi; huutakiwi kujiuliza maswali mengi.
 
tuwe wakweli, do you really think it is possible kwamba jeshi la polisi la nchi nyingine likubaliwe kungia Tanzania kuchunguza? tukubali, yaliyotokea yametokea, inawezekana hata watekaji hawakutarajia yatakuya hivi, walijua washapoteza, ila Mungu ndio hawakujua mapenzi yake kwa kijana wetu. turuhusu polisi wafanye kazi yao huku tukiwa tunamlinda kijana, ili wakose cha kujitetea. kama kijana atakuwa ameeleza detail vizuri na sisi tukathibitisha kile alichoeleza, ndio tunawatia polisi kitanzi zaidi cha kupeleleza, tukiwa tunawazuia ndio tunawapa sababu/uhalali wa kutopeleleza. kuna baadhi ya vitendo vingi naamini sio polisi wote huwa wamebariki, ni ka taskforce fulani tu naamini, hata wambura si ukute hakujua, au pengine Rais ameamua kushughulikia hao watu, unajuaje? samia anaweza kuwa mbaya ila roho hiyo hana, yule ni mwanamke ukimpa bunduki apige mtu hapigi yule nakuhakikishia.
 
CCM inatembea uchi mchana kweupe katikati ya jiji bila haya
 
acha uoga wa kijinga wazee wetu wangekuwa waoga na kujiweka mbali na siasa leo usingekalisha le pumbuz kwenye sofa huku unaangalia Euro 2024 kwa uhuru
 
PGO ya ngapi weka hapa usije ukawa kama wainjilisti koko na maustadh ubwabwa utawasikia wakisema bibilia au kuruani inasema kumbe ni uongo kulazimisha kupata uhalali wa maneno yao
 
Hao polisi wangekua SA sijui kama wangeweza hata kutoka nje ya Wodi naipenda SA kwa kuwa hakuna maonezi ya kijinga ya namna hiyo kwa mtu yeyote...
 
MATUKIO YA KUTEKA WATU YANAZIDI KUONGEZA AKIBA YA HASIRA KWENYE MIOYO YA WENGI.
KUNA SIKU WATU WATASIMAMA BARABARANI HAWATAOGOPA RISASI, MABOMU , NA TAKATAKA ZINGINE.
WALE VIJANA WA KENYA, GEN Z WAMEFIKA HAPO SI BAHATI MBAYA.

HOJA ZIJIBIWE KWA HOJA!
 
You are talking rubbish.
Inavyoonekana wewe hujui kitu chochote kile kuhusiana na masuala haya ya upelelezi au uchunguzi wa kijinai. Je, Kwa nini Unafikiri kwamba Polisi kutoka nchi moja hawawezi kwenda kufanya upelelezi ktk nchi nyingine??

Rais Nelson Mandela wa Afrika ya Kusini aliwaalika Wapelelezi Wabobevu wa FBI kutoka Marekani kwenda nchini kwake ili kwenda kupeleleza Visa vya matukio mabaya ya utekaji na Mauaji ya wasichana na Wanawake, matukio ambayo yalikuwa yanatisha na kufululiza ndani ya Mji wa Pretoria na Johannesburg miaka hiyo. Mtekelezaji wa matukio hayo alikuja kubainika baadaye na kujulikana kwa Jina maarufu Sana la Moses Sithole au "The ABC Killer." Kisa hiki kinajulikana Sana ndani ya nchi ya Afrika ya Kusini na hata duniani kote kwa ujumla.
 
hata kama kwako unaona rubbish, jaribu kufikirisha akili yako walau kidogo. kwenye reality, unafikiri icho kitu Tanzania hii kinawezekana kwa serikali hii? kwanini msitumie hicho kidogo kilichopo hata kama ni doubtful ili kuwaaacha polisi wasiwe na cha kujitetea kwenye upelelezi wa suala hili. ndugu wakiwepo, maranja wowote wakiwepo wanaona, edga akatoa maelezo shida ipo wapi kama mtu una akili timamu? kuna watu huwa mnajifanya wapiganaji ila kupigana kwenu hampambani kwa akili na busara, mmejaa matusi na hamuendi na Mungu kwenye harakati zenu. kuweni na hekima basi, na jibizaneni kwa hoja badala ya lugha zisizofaa. kama mnataka na Mungu awasaidie kwenye harakati zenu basi na ninyi kuweni na mioyo misafi.

kiukweli, hata sativa tunahuzunika kwamba alichotendewa ni kibaya sana na hakikustahili, though kwa upande wake alichangia kuhatarisha maisha yake, hivi kama angeamua kutoa tu hoja bila yale matusi yake, kwani kuna wangapi tunatoa hoja bila matusi?

yaani ukimwangalia usoni na alivyo huwezi amini kama yale matusi yalikuwa yanatoka mdomoni mwake, tena kwenye mdomo wa mnyakyusa watu wa dini tunaoamini wanatakiwa kuwa wamelelewa vizuri na wazazi wao. kijana mdogo kama yule anatukana watu mikkundu, mara usenge, na matusi ya ajabu, kweli: si mnajisogezea maadui wenyewe ? alifanyiwa kitu kibaya, hakistahili,ila vijana kuweni na hekima, mapambano yasipokuwa na hekima huishia kuumizwa tu na kusumbua watu wawachangie mitandaoni hivi.
 
MATUKIO YA KUTEKA WATU YANAZIDI KUONGEZA AKIBA YA HASIRA KWENYE MIOYO YA WENGI.
KUNA SIKU WATU WATASIMAMA BARABARANI HAWATAOGOPA RISASI, MABOMU , NA TAKATAKA ZINGINE.
WALE VIJANA WA KENYA, GEN Z WAMEFIKA HAPO SI BAHATI MBAYA.

HOJA ZIJIBIWE KWA HOJA!
Mbona Mkuu unajitoa unasema WAtasimama, wewe hautosimama nasi?
 
Magufuli mpumbavu sana ....kwanini huyu mwenda kuzimu anaendelea kuteka na kuua watu ...sisi chadema tunamlaani magufuli kwa nguvu zetu zote kwenye tukio ili tutaitangazia dunia ijue kuwa magufuli ni dictator anatakiwa kushitakiwa miga na mahakama zingine za kimataifa. People power
 
Polisi wahuni sana.wanafanya upumbavu wa kuua watu halafu wanajifanya kumhoji hospitalini ili iwe Nini Sasa na wakati RPC katavi alimuhoji?Ina maana taasisi Moja hawaaminia I?Na kama hawaaminiani basi hakuna haja ya kuwa na jeshi la polis.halina tija kabisa na ni Bora tu lingefutwa kabisa tukawapa hata mgambo wakasimamia ulinzi wa raia na Mali zao.MAPAMBANO yaendelee maana hata kipindi tunadai uhuru tulipata misukosuko kama hii.viongozi kama jomo kenyata walikuwa wanakamatwa wanatesa na Hawa watu mbululazi polisi lakini mwisho wa siku tukawashinda Hawa wahuni washenzi kabisa.
 
Ila akiki zingine bwana,kwahyo ulitaka hilo jarda la kesi au uchunguzi huyo DCI aje nalo hapo?

Au hujui kama taarifa au maelezo yanaweza kuchukuliwa kabla ya kesi,wakati wa kesi na hata baada ya kesi?
 
Wiseman, barikiwa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…