Boniface Jacob: Vituko vya Polisi wodini kwa Edger Edson Mwakabela (Sativa)

Mama aache uuwaji! Aadabishe watendaji wake ndani ya jeshi la polisi!
 
Wapeni uhuru polisi wafanye kazi yao,,, najitolea mfano mimi kuna mheshimiwa mmoja aliniletea ubishi na ujuaji na unyanyasaji kwenye ofisi yangu nikaona hili halivumiliki. Nikaenda kituoni nikakuta askari wa kike nikaeleza akaniambia subiri huyu tumemchoka na haki yangu nilipata na fidia na magoti juu..... Nashauri tu kuna muda tuwape askari nafasi si wote na sio muda wote wananyanyasa na kuminya haki kuna muda wanakuelimisha na unapata haki yako vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaweza kumpa uhuru we dada mume wako ajichunguze kachepuka live bila tbc
 
Safi kabisa,kina bonge yai washamfanya mtaji,wanajua akichukuliwa maelezo badae kwenye rufaa watampoteza then hizo hela zitaenda bure na watakosa sababu kuchangishana huko x
 
Maelezo ya nyongeza alikuwa anayaandika pasi na kuwa na maelezo yaliyoandikwa awali na askari toka ofisi ya RCO Katavi? Huu ubabaishaji means walitaka waandike maelezo wanayotaka wao then wamsomee juu juu tu na kimsainisha uwongo ili wamwingize king Sativa. Ni hatari Sana means Katavi wameandika maelezo vyema ya Sativa Sasa kumtuma mtu toka kwa DCI alikuwa na maelekezo maalum Sasa sheria ifuate mkondo na wake melezo ya awali ndo yatumike mahakamani ikihitajika
 
WAle wanoiteteaga ccm wapo wapi kwenye mada kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…