Boniface Jacobi, an intelligent person who turned into a sycophant

El Roi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
297
Reaction score
537
Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni.

Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na ana siasa za akili na ana akili kubwa ukipenda.

Shida ambayo nimepata hivi karibuni ni kumuona mtu mwenye akili nyingi na uelewa mpana namna hiyo anageuka kuwa psychophant wa mtu. Nimetumia neno mtu hata siyo mbowe kwa sababu , hakika anachokipinga Kiko zaidi ya kumjua tu mbowe.

Anapinga facts, anapinga season yenyewe ya mabadiliko, anapinga mpaka ukweli anaouona.

Hakika Sasa nimekubaliana na methali ya kiswahili isemayo" kwamba, kamba hukatikia pembamba".

Hivi Bon na akili yote hiyo hawezi ona mbowe ana over stay kwenye madaraka? Hawezi ona mbowe Yuko out of season? Hawezi ona kwamba kwa swala la siasa mbowe amefika kwenye political plateau yake, na kwamba hapandi Tena Bali anashuka"

Kwa sababu ya kuamini akili ya Bon Yai na Sasa naona kama kaiuza mahala Fulani hivi, nikwambie tu come back to your senses please!!!

Hii siyo akili yake. Huwenda Yuko influenced na jambo tusilolijua.

Kwa mnaomfahamu na kumjua kwa karibu, mwambie" The order of the day is " come back to your senses".

Ni kijana ( maana namzidi age) ambaye anategemewa kwenda na wimbi la siasa active, na cohort wake ni upande wa Lissu na siyo Mbowe, If the truth ,must be told.

Come back to your senses Bon, before it is too late.
 
Siasa NI maslahi ya TUMBO Kwanza
Sugu na Boni yai wamepewa uenyekiti kanda kwa mbeleko ya Mwenyekiti
 
Tetesi toka Twitter (Dr Slaa kazungumzia hilo suala) zinasema kuna 12B imekuwa injected ndani ya chama. Lazima athari zake zitaonekana.
 
Unaamini hili kwa sababu kasema Dr.Slaa? Katoa ushahidi zaidi ya kusema " ameambiwa"! Ni kama Lissu alipobanwa kuhusu ushahidi wa pesa za Abduli akasema kuwa aliyemwambia amefariki.

Kuna fact gani katika kusema mtu ame overstay? Wame base nini katika hiyo statement? Uthibitisho wa mwanasiasa ku overstay na kuchokwa ni kukataliwa na wapiga kura wake. Lakini watu hawataki kuwapa wapiga kura hiyo nafasi ya kumkataa.

Kwa kweli mnasikitisha.

Amandla...
 
Siasa uchwara hizi. Mleta mada nani kakuambia Mbowe hataki kustaafu? Katiba ya chama inasemaje kuhusu ukomo wa madaraka? Je, hakuna uchaguzi?

Kwa kweli mimi nitasimama na Mbowe katika siasa za CHADEMA. Katiba inamruhusu na haki anayo. Kama wanachama wamemchoka wamuangushe ktk sanduku la kura.

Ni demokrasia gani inaweka mipaka ya kuongoza nje ya prescription ya katiba? Huoni kuwa kumshinikiza mwanachama asiendelee na cheo au madaraka ni ubakaji wa katiba ya chama na demokrasia kwa jumla?

Mbowe kafanya uamuzi mzuri kugombea. Wasiopenda demokrasia walitaka mtu wao apite bila kupingwa. Je, hii si ingekuwa upuuzi kama uliofanyika kwa watani wao? Yaani kundi fulani tu lianaamua huyu ndio wetu..... na inakuwa
 
Kuna fact gani katika kusema mtu ame overstay? Wame base nini katika hiyo statement? Uthibitisho wa mwanasiasa ku overstay na kuchokwa ni kukataliwa na wapiga kura wake. Lakini watu hawataki kuwapa wapiga kura hiyo nafasi ya kumkataa
Wapiga kura ni million zaidi ya 3, hao wajumbe ni 1,200 sasa which is which? Wanachama wengi hawamtaki Mbowe hata yeye amekiri wanaompenda Lissu sio wapiga kura!!

Sasa kama unajua wanachama wanamtaka Lissu, wwe Mbowe utaongoza wajumbe au wapiga kura wa chadema?

Hili zee halina akili kabisa, na hapo lishajipanga kumchukua Mpina au January kugombea urais hiyo oktoba. No succession plan no strategic planning.

How I wish kesi ya ugaidi angenyongwa tu!!
 
Hao wanasiasa wengi unaowaona wakijitutumua hasa kwenye mitandao ya Kijamii walikua wanabebwa na jina Chadema, Na waliamini mbowe ni smart sana na anapendwa kuliko mtu yoyote Chadema, Mbowe ndo anaweza kukupa nafasi ya kugombea ubunge kwaiyo walichagua upande mapema hivyo hawawezi kubadili maamuzi tena
 
Wapiga kura ni million zaidi ya 3, hao wajumbe ni 1,200 sasa which is which? Wanachama wengi hawamtaki Mbowe hata yeye amekiri wanaompenda Lissu sio wapiga kura!!

Sasa kama unajua wanachama wanamtaka Lissu, wwe Mbowe utaongoza wajumbe au wapiga kura wa chadema?

Hili zee halina akili kabisa, na hapo lishajipanga kumchukua Mpina au January kugombea urais hiyo oktoba. No succession plan no strategic planning.

How I wish kesi ya ugaidi angenyongwa tu!!
Yule mzee kule kukaa kimya anasifiwa eti ana busara kumbe alikua anaficha madhaifu yake, yule mzee ni mweupe kichwani,ni mjivuni ana dharau na ni mpenda sifa mla rushwa na katili sana, alijiona Mungu mtu
 
Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni.

Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na ana siasa za akili na ana akili kubwa ukipenda.

Shida ambayo nimepata hivi karibuni ni kumuona mtu mwenye akili nyingi na uelewa mpana namna hiyo anageuka kuwa psychophant wa mtu. Nimetumia neno mtu hata siyo mbowe kwa sababu , hakika anachokipinga Kiko zaidi ya kumjua tu mbowe.

Anapinga facts, anapinga season yenyewe ya mabadiliko, anapinga mpaka ukweli anaouona.

Hakika Sasa nimekubaliana na methali ya kiswahili isemayo" kwamba, kamba hukatikia pembamba".

Hivi Bon na akili yote hiyo hawezi ona mbowe ana over stay kwenye madaraka? Hawezi ona mbowe Yuko out of season? Hawezi ona kwamba kwa swala la siasa mbowe amefika kwenye political plateau yake, na kwamba hapandi Tena Bali anashuka"

Kwa sababu ya kuamini akili ya Bon Yai na Sasa naona kama kaiuza mahala Fulani hivi, nikwambie tu come back to your senses please!!!

Hii siyo akili yake. Huwenda Yuko influenced na jambo tusilolijua.

Kwa mnaomfahamu na kumjua kwa karibu, mwambie" The order of the day is " come back to your senses".

Ni kijana ( maana namzidi age) ambaye anategemewa kwenda na wimbi la siasa active, na cohort wake ni upande wa Lissu na siyo Mbowe, If the truth ,must be told.

Come back to your senses Bon, before it is too late.
Boniyai
 
Attachments

  • GgorHp4XUAAE0_u.jpeg
    GgorHp4XUAAE0_u.jpeg
    51.3 KB · Views: 2
Unaamini hili kwa sababu kasema Dr.Slaa? Katoa ushahidi zaidi ya kusema " ameambiwa"! Ni kama Lissu alipobanwa kuhusu ushahidi wa pesa za Abduli akasema kuwa aliyemwambia amefariki.

Kuna fact gani katika kusema mtu ame overstay? Wame base nini katika hiyo statement? Uthibitisho wa mwanasiasa ku overstay na kuchokwa ni kukataliwa na wapiga kura wake. Lakini watu hawataki kuwapa wapiga kura hiyo nafasi ya kumkataa.

Kwa kweli mnasikitisha.

Amandla...
Sure mkuu 🤝
 
Wapiga kura ni million zaidi ya 3, hao wajumbe ni 1,200 sasa which is which? Wanachama wengi hawamtaki Mbowe hata yeye amekiri wanaompenda Lissu sio wapiga kura!!

Sasa kama unajua wanachama wanamtaka Lissu, wwe Mbowe utaongoza wajumbe au wapiga kura wa chadema?

Hili zee halina akili kabisa, na hapo lishajipanga kumchukua Mpina au January kugombea urais hiyo oktoba. No succession plan no strategic planning.

How I wish kesi ya ugaidi angenyongwa tu!!
Una chuki binafsi na Mbowe. Hamna ushahidi wowote kuwa wasiomtaka Mbowe wote ni Chadema. Huu uchaguzi ni wa kutafuta kiongozi wa Chadema. Tuwaachie wamchague wanayemtaka kulingana na katiba yao. Sisi wengine tungojee uchaguzi mkuu kumkataa au kumkubali mgombea wao. Labda ajitoe lakini mpaka sasa mgombea aliyeonyesha nia ya kugombea urais kwa tiketi ya Chadema ni Lissu peke yake.

Amandla....
 
Umeharibu heading, such an idiot could never be an intelligent
Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni.

Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na ana siasa za akili na ana akili kubwa ukipenda.

Shida ambayo nimepata hivi karibuni ni kumuona mtu mwenye akili nyingi na uelewa mpana namna hiyo anageuka kuwa psychophant wa mtu. Nimetumia neno mtu hata siyo mbowe kwa sababu , hakika anachokipinga Kiko zaidi ya kumjua tu mbowe.

Anapinga facts, anapinga season yenyewe ya mabadiliko, anapinga mpaka ukweli anaouona.

Hakika Sasa nimekubaliana na methali ya kiswahili isemayo" kwamba, kamba hukatikia pembamba".

Hivi Bon na akili yote hiyo hawezi ona mbowe ana over stay kwenye madaraka? Hawezi ona mbowe Yuko out of season? Hawezi ona kwamba kwa swala la siasa mbowe amefika kwenye political plateau yake, na kwamba hapandi Tena Bali anashuka"

Kwa sababu ya kuamini akili ya Bon Yai na Sasa naona kama kaiuza mahala Fulani hivi, nikwambie tu come back to your senses please!!!

Hii siyo akili yake. Huwenda Yuko influenced na jambo tusilolijua.

Kwa mnaomfahamu na kumjua kwa karibu, mwambie" The order of the day is " come back to your senses".

Ni kijana ( maana namzidi age) ambaye anategemewa kwenda na wimbi la siasa active, na cohort wake ni upande wa Lissu na siyo Mbowe, If the truth ,must be told.

Come back to your senses Bon, before it is too late.
 
Sycophant ya wapi na wewe blalphu

Siasa ni affliation..

Hakuna cha akili wala hiz bla bla zenu..

TL anaangukia pua asubuh na mapema
Prophesying the defeat of Lissu depicts you a doom prophet.
 
Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni.

Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na ana siasa za akili na ana akili kubwa ukipenda.

Shida ambayo nimepata hivi karibuni ni kumuona mtu mwenye akili nyingi na uelewa mpana namna hiyo anageuka kuwa psychophant wa mtu. Nimetumia neno mtu hata siyo mbowe kwa sababu , hakika anachokipinga Kiko zaidi ya kumjua tu mbowe.

Anapinga facts, anapinga season yenyewe ya mabadiliko, anapinga mpaka ukweli anaouona.

Hakika Sasa nimekubaliana na methali ya kiswahili isemayo" kwamba, kamba hukatikia pembamba".

Hivi Bon na akili yote hiyo hawezi ona mbowe ana over stay kwenye madaraka? Hawezi ona mbowe Yuko out of season? Hawezi ona kwamba kwa swala la siasa mbowe amefika kwenye political plateau yake, na kwamba hapandi Tena Bali anashuka"

Kwa sababu ya kuamini akili ya Bon Yai na Sasa naona kama kaiuza mahala Fulani hivi, nikwambie tu come back to your senses please!!!

Hii siyo akili yake. Huwenda Yuko influenced na jambo tusilolijua.

Kwa mnaomfahamu na kumjua kwa karibu, mwambie" The order of the day is " come back to your senses".

Ni kijana ( maana namzidi age) ambaye anategemewa kwenda na wimbi la siasa active, na cohort wake ni upande wa Lissu na siyo Mbowe, If the truth ,must be told.

Come back to your senses Bon, before it is too late.
Kwa hiyo umekuja kusifia?
 
Back
Top Bottom