El Roi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 297
- 537
Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni.
Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na ana siasa za akili na ana akili kubwa ukipenda.
Shida ambayo nimepata hivi karibuni ni kumuona mtu mwenye akili nyingi na uelewa mpana namna hiyo anageuka kuwa psychophant wa mtu. Nimetumia neno mtu hata siyo mbowe kwa sababu , hakika anachokipinga Kiko zaidi ya kumjua tu mbowe.
Anapinga facts, anapinga season yenyewe ya mabadiliko, anapinga mpaka ukweli anaouona.
Hakika Sasa nimekubaliana na methali ya kiswahili isemayo" kwamba, kamba hukatikia pembamba".
Hivi Bon na akili yote hiyo hawezi ona mbowe ana over stay kwenye madaraka? Hawezi ona mbowe Yuko out of season? Hawezi ona kwamba kwa swala la siasa mbowe amefika kwenye political plateau yake, na kwamba hapandi Tena Bali anashuka"
Kwa sababu ya kuamini akili ya Bon Yai na Sasa naona kama kaiuza mahala Fulani hivi, nikwambie tu come back to your senses please!!!
Hii siyo akili yake. Huwenda Yuko influenced na jambo tusilolijua.
Kwa mnaomfahamu na kumjua kwa karibu, mwambie" The order of the day is " come back to your senses".
Ni kijana ( maana namzidi age) ambaye anategemewa kwenda na wimbi la siasa active, na cohort wake ni upande wa Lissu na siyo Mbowe, If the truth ,must be told.
Come back to your senses Bon, before it is too late.