Hahaaa. Ntakushitua aisee. Nadhani anamalizia kujicheka kwanza.Mleta uzi akija unishtue swahiba
Ondoa hofu Wanayanga hawa hasira za mkizi.Yanga hawajazoea kuona wanakosa ushindi, hapo ni matokeo ya Suluhu, wangefungwa sijui hali ingekuwaje.
Na mechi ijayo wanafungwa na Azamu sijui hali itakuwaje Jangwani
Mi hiyo mechi sitaenda uwanjani lolote linaweza kutokea.
ππππhohohohoho woyooooo gongowazi,vyuuuuraaaaaaaaa πππππππ
Hebu rudia hii kauli yako tena???Tatizo letu Simba na Yanga huwa tunaangaliana wenyewe tu! Azam wana nafasi ya kuchukua ubingwa mwaka huu!
Mnajadili uzi wa 2018