Boniface Mkwasa anusurika kichapo kutoka kwa mashabiki wa Yanga SC

Boniface Mkwasa anusurika kichapo kutoka kwa mashabiki wa Yanga SC

Yanga hawajazoea kuona wanakosa ushindi, hapo ni matokeo ya Suluhu, wangefungwa sijui hali ingekuwaje.
Na mechi ijayo wanafungwa na Azamu sijui hali itakuwaje Jangwani
Mi hiyo mechi sitaenda uwanjani lolote linaweza kutokea.
Ondoa hofu Wanayanga hawa hasira za mkizi.
 
Yanga ya mwaka huu ni Pasua kichwa, me imenifanya nisiwe na mzuka na hii timu kila Siku in mwendo wa droo au kuchapwa tu
 
Back
Top Bottom