Pre GE2025 Boniface Mwabukusi: Anayemshikilia wakili mwenzetu Tundu Lissu atawajibika binafsi kwa Madhara yoyote atakayopata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe Maramoja. Usalama wa Wakili Mwenzetu na wote waliokamatwa ni kipaumbele chetu.

Screenshot 2024-08-12 160209.png

Pia soma=> Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
 
Itakuwa CCM wamemwiiba Kwa nguvu 😅😅 km walimwomba ajiunge nao akakataa..
 
Kwanini jambo lifanywe na sijui Polisi sijui nani lawama apewe mzalendo wetu namba moja Rais wa mioyo yetu?

Rais ambae hata leo ukiweka boksi la kula mpinzani wake hapati hata 10% tu ya kura zake?

Mh. rais aachwe ahudunie watanzania wanyonge na kuboresha maslai ya watumishi wa umma hasa walimu
 
Mwambie awakataze hao. Maana asipowakataza matendo yao yote inaonekana kawatuma. Hapa panahitaji hekima kama aliyoomba mfalme Suleimani
 
Kwanini jambo lifanywe na sijui Polisi sijui nani lawama apewe mzalendo wetu namba moja Rais wa mioyo yetu?

Rais ambae hata leo ukiweka boksi la kula mpinzani wake hapati hata 10% tu ya kura zake?

Mh. rais aachwe ahudunie watanzania wanyonge na kuboresha maslai ya watumishi wa umma hasa walimu
Hapo ulipo una njaa ya tumbo mpaka akili , dume zima unamsifia Mwanamke hizo ni dalili za kuleft group
 
Ndyomaana nilikataa kazi ya upolisi baada ya ku graduate, nilijua ni kazi ya kitumwa na kutekeleza au kubeba dhambi za wanasiasa.
 
Back
Top Bottom