Pre GE2025 Boniface Mwabukusi: Anayemshikilia wakili mwenzetu Tundu Lissu atawajibika binafsi kwa Madhara yoyote atakayopata

Pre GE2025 Boniface Mwabukusi: Anayemshikilia wakili mwenzetu Tundu Lissu atawajibika binafsi kwa Madhara yoyote atakayopata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yeye anamkumbuka wakili mwenzao tu? Hao wengine wakafie mbali, au?
TLS inapaswa kusimamia sheria na haki kwa watanzania wote bila kuwabagua. Kama inamsimamia tundu lisu peke yake na viongozi wengine wa chadema kuachwa wajisimamie, siku tutakapokamatwa sisi tusio na chama itakuwaje?
Umesoma vizuri alichoandika?
 
Kwanini jambo lifanywe na sijui Polisi sijui nani lawama apewe mzalendo wetu namba moja Rais wa mioyo yetu?

Rais ambae hata leo ukiweka boksi la kula mpinzani wake hapati hata 10% tu ya kura zake?

Mh. rais aachwe ahudunie watanzania wanyonge na kuboresha maslai ya watumishi wa umma hasa walimu
Amili jeshi mkuu wa mapolisi wote ni nani?
 
Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe Maramoja. Usalama wa Wakili Mwenzetu na wote waliokamatwa ni kipaumbele chetu.

View attachment 3067890

Pia soma=> Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Mheshimiwa Rais Mwaisa Mwabukusi umenena vema. Huyo mbwa anayemshikilia atabeba msalaba wake. PoliCCM wanapenda sana sifa za kijinga.
 
Kwanini jambo lifanywe na sijui Polisi sijui nani lawama apewe mzalendo wetu namba moja Rais wa mioyo yetu?

Rais ambae hata leo ukiweka boksi la kula mpinzani wake hapati hata 10% tu ya kura zake?

Mh. rais aachwe ahudunie watanzania wanyonge na kuboresha maslai ya watumishi wa umma hasa walimu
Katika neno silipendi neno wanyonge ni neno la kufanya watz km wapumbavu na kuona unyonge sifa huku waoaita wanyonge wakiogelea kweye ukwasi wa dollari sitopenda na sitolipenda hili neno unyonge ni neno baya na halifai kuita wananchi hata km wanaish kwenye kipato cha chini linakera
 
Back
Top Bottom