Yeye anamkumbuka wakili mwenzao tu? Hao wengine wakafie mbali, au?
TLS inapaswa kusimamia sheria na haki kwa watanzania wote bila kuwabagua. Kama inamsimamia tundu lisu peke yake na viongozi wengine wa chadema kuachwa wajisimamie, siku tutakapokamatwa sisi tusio na chama itakuwaje?