Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

Halafu utasikia machadema na mwabukusi mwenyewe wanasema mahakama haiko huru kisa wame wagwa.
Ndo mana nchi hatuwezi kuwapa mana hamueleweki
Kila jambo hupimwa Kwa wingi na ubora...
Kwa mfano ni kesi ngapi dhidi ya CCM/Serikali huendeshwa Kwa weledi na haki?

Mfano wewe ungekuwa ni Jaji, swali la kama Halima Mdee na wenzake kuwemo Bungeni ni halali ama lah. Lingekuchukua miaka 3 kulifanyia maamuzi?
 
mi siyo jaji hivyo sijui sheria inasemaje hata we hujui
 
Hongera kwa ushindi,
Hao madhalimu yana njia nyingi.
wanakuja na plan B, Nawe jipange kwa plan B.
Ikiwezekana ipasue TLS pande 2, TLS Machawa TLS Wazalendo.

NB:Hoja kwa Hoja, na sio utekaji
 
Attachments

Hongera wakili msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi . You are a lawyer for GOD's sake .
 
Natamani sana kuiona TLS iliyo imara kiweredi kama LSK. Natamani sana TLS kuwa na uongozi ulio makini wenye ushindani wa hoja kama LSK. Mwambukusi ni mtendaji mzuri mwenye uthubutu anayenyoosha kauli na matendo yake. Mwambukusi ni mtendaji zaidi na msimamizi mzuri. Nafasi ya urais wa TLS kwa Mwambukusi nahisi akiupata atakuwa kama gari lililofungwa speed gouverner.... [emoji848] Huu ni mtizamo wangu binafsi naweza kukosolewa.
Deal done.

Kila la kheri kwake kwenye majukumu yaliyo mbele yake
 
Back
Top Bottom