Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

Kuna namna wakina Kibatala walikuwa wakitangaza misimao yao kuhusu kumuunga mkono Adv. Mwabukusi arudishwe kama mgombea, but at the same time wanasema hawatampigia kura, nikaona hawa wanajichanganya.

Naamini kile kitendo chao cha kusema hawatampigia kura Adv. Mwabukusi, kiliwafanya watawala waone kumbe Mwabukusi hana madhara kama walivyokuwa wakimhofia, ndio maana sishangai kama Adv. Mwabukusi ameshinda ile kesi yake iliyosikilizwa leo.
 
Kutetewa na "Mawakili wa CHADEMA" ndio kunafanya Mteja awe CHADEMA?!

Fafanua tafadhali.
Mteja Hana shida shida ipo kwenye viongozi wa chadema na wafuasi wao kulibebea mbeleko hili suala kama vile ni kesi ya chama. Yani ukipitia mtandaoni ni kama chadema imeshinda kesi.
 
Polonium (High radioactivity, high lethality) is a highly radioactive heavy metal. It is arguably the most lethal known material. Although it has some minor industrial uses it is best known for links with possible assassinations. It is also used to produce neutrons in the core of nuclear weapons.
Mkuu we ni mwenzetu?
 
Huyo Sweetbert Nkuba kama namjua hivi hivi alikuwaga Runzewe?!
 
Back
Top Bottom