Mwambukusi anamaliza mwaka wake hapo TLS hajafanya chochote. Anatakiwa atupatie mapato na matumizi ya TLSRais wa chama cha mawakili Tanganyika msomi Boniface A.K Mwabukusi pia asema bora jeshi la Polisi likapewa usajili na msajili wa vyama vya siasa Tanzania
Hamna jeshi hapo hiyo ni uvccm tu . Wanatumika zaid ya pads 🧻🧻🧻🧻Rais wa chama cha mawakili Tanganyika msomi Boniface A.K Mwabukusi pia asema bora jeshi la Polisi likapewa usajili na msajili wa vyama vya siasa Tanzania
Unauhakika? Kaulize tenaMwambukusi anamaliza mwaka wake hapo TLS hajafanya chochote. Anatakiwa atupatie mapato na matumizi ya TLS
Hamna jeshi hapo hiyo ni uvccm tu . Wanatumika zaid ya pads 🧻🧻🧻🧻
Nadhan hufahamu, si kila amri inapokeea kuna amri batili na sahihiAliekuzidi cheo ni bosi wako... Hii ni fact kulingana na namna Taasisi za ulinzi n usalama zinavyofanya kazi.
Ukiwa chini yakupasa kupokea Amri na si vinginevyo. Ila; ukiamua kuwa na vinginevyo, basi, bila shaka wewe ni Mkaidi na ni Muasi na 'automatically' wewe ni Muhaini...
KUPANGA NI KUCHAGUA
Tuambie Mwambukusi kafanya nini hapo TLS? Mwaka unakatika sasa anakimbia tu huku na huko.Unauhakika? Kaulize tena
Ww ni mwanachama?Tuambie Mwambukusi kafanya nini hapo TLS? Mwaka unakatika sasa anakimbia tu huku na huko.
Urais TLS kwasasa ni miaka mi3 sio mmoja tena, bado mnaye sana machawa!Mwambukusi anamaliza mwaka wake hapo TLS hajafanya chochote. Anatakiwa atupatie mapato na matumizi ya TLS
Mifumo ina soma kibisaBAKWATA, POLISI, UVCCM, USHIRIKA, JUWATA, WAZAZI n.k
Tuambie Mwambukusi kafanya nini hapo TLS? Mwaka unakatika sasa anakimbia tu huku na huko.
Acha ufala wako Mwambukusi amekuwa Rais bora sana kwa sasa kwani amekuwa msema kweli pasipo unafiki na uchawaMwambukusi anamaliza mwaka wake hapo TLS hajafanya chochote. Anatakiwa atupatie mapato na matumizi ya TLS
Amekomesha uchawa amekuwa mwiba mkali wa watesi woteUrais TLS kwasasa ni miaka mi3 sio mmoja tena, bado mnaye sana machawa!
MahakamaccmBAKWATA, POLISI, UVCCM, USHIRIKA, JUWATA, WAZAZI n.k
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali wanafanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa Ma-ccmHamna jeshi hapo hiyo ni uvccm tu . Wanatumika zaid ya pads 🧻🧻🧻🧻
Oya sikiliza point anazoongea hio anayofanya ni mojawapo ya kazi ya waliomchagua mawakili TLS sio mafala km wewe na wale mawakili wenu machawa wa TPBAMwambukusi anamaliza mwaka wake hapo TLS hajafanya chochote. Anatakiwa atupatie mapato na matumizi ya TLS
Siyo kila amri ni halali.Aliekuzidi cheo ni bosi wako... Hii ni fact kulingana na namna Taasisi za ulinzi n usalama zinavyofanya kazi.
Ukiwa chini yakupasa kupokea Amri na si vinginevyo. Ila; ukiamua kuwa na vinginevyo, basi, bila shaka wewe ni Mkaidi na ni Muasi na 'automatically' wewe ni Muhaini...
KUPANGA NI KUCHAGUA
Polisiccm14 November 2025
Rais wa chama cha mawakili Tanganyika msomi Boniface A.K Mwabukusi pia asema bora jeshi la Polisi likapewa usajili na msajili wa vyama vya siasa Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=UMmGpqh9Ask
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria kwa sasa bali wanafanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa maccmSiyo kila amri ni halali.
Unapaswa kutii au kutekeleza amri halali tu.