Nadhani wewe ndio utuambie ni kipi hajafanya, maana waliompa huo wadhifa hawana shida naye.Tuambie Mwambukusi kafanya nini hapo TLS? Mwaka unakatika sasa anakimbia tu huku na huko.
Nadhani wewe ndio utuambie ni kipi hajafanya, maana waliompa huo wadhifa hawana shida naye.Tuambie Mwambukusi kafanya nini hapo TLS? Mwaka unakatika sasa anakimbia tu huku na huko.
Polisiccm
Bakwataccm
Mahakamaccm
Msajiliccm
Majajiccm
Chaumaccm
Muimba taarabu tu huyo. Hivyo hawezi kuwa mwanachama wa TLS.Ww ni mwanachama?
Kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kila amri ni halaliSiyo kila amri ni halali.
Unapaswa kutii au kutekeleza amri halali tu.