Boniface Pawasa, awa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Ufukweni

Boniface Pawasa, awa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Ufukweni

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limemteua beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania Boniface Pawasa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya soka la ufukweni ambapo kibarua chake cha kwanza itakuwa ni kuivusha timu hiyo kufuzu AFCON dhidi Afrika Kusini.
 
Hongera zake kwa kupata nafasi hiyo huenda akatuvusha kwenye hatua hii.
Wakati mwingine ni vyema wazawa wakiaminika, Nchi nyingi huko Duniani wanawatumia makocha wazawa.
 
Endeleeni kunywa bia wana si mnaona walevi wanapata mashavu
 
historia yake ya kufundisha timu ikoje au ndio mwenendo wa kuteua makocha dizaini ya kina kinje
 
Back
Top Bottom