figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limemteua beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania Boniface Pawasa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya soka la ufukweni ambapo kibarua chake cha kwanza itakuwa ni kuivusha timu hiyo kufuzu AFCON dhidi Afrika Kusini.