Boniphace Jackob ashangaa Watanzania hawajashtushwa na kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Boniphace Jackob Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani ameahangaa kitendo cha wa Tanzania kutoshtushwa na No Reform No election

Boniphace Jackob aliyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Tandale.

Boniphace Jackob alijigamba kwamba yeye ndiye amejenga barabara za Tandale kana kwamba alikuwa anatoa fedha mfukoni mwake
 
Boniphace Jackob Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani ameahangaa kitendo cha wa Tanzania kutoshtushwa na No Reform No election

Boniphace Jackob aliyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Tandale.

Boniphace Jackob alijigamba kwamba yeye ndiye amejenga barabara za Tandale kana kwamba alikuwa anatomy fedha mfukoni mwake
Picha wp
 
Mbona huyo mkojani wenu kila project mnasema ametoa hela yeye?
 
Kama wanashangilia hii barabara unategemea nini

Boniphace Jackob Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani ameahangaa kitendo cha wa Tanzania kutoshtushwa na No Reform No election

Boniphace Jackob aliyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Tandale.

Boniphace Jackob alijigamba kwamba yeye ndiye amejenga barabara za Tandale kana kwamba alikuwa anatomy fedha mfukoni mwake
Kila siku humu huwa tunasema sio Magufuli wala Samia anapaswa kusifiwa kwa miradi ya nchi hii maana ni fedha za wanancho lakini chawa hamuelewi. Watu wameanza kutumia ule upotoshaji wenu mnaanza kutoa ufafanuzi.
 
John Heche leo amecheza wimbo wa " KUNA"
 
Jitu lina tumbo kama furushi la mavi inategemea nini?

Alijenga Barabara zip?

Miradi ya Jk ya Dmdp anatoka wap?
 
Back
Top Bottom