Boniphace Jackob ashangaa Watanzania hawajashtushwa na kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi

Boniphace Jackob ashangaa Watanzania hawajashtushwa na kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi

Boniphace Jackob Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani ameahangaa kitendo cha wa Tanzania kutoshtushwa na No Reform No election

Boniphace Jackob aliyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Tandale.

Boniphace Jackob alijigamba kwamba yeye ndiye amejenga barabara za Tandale kana kwamba alikuwa anatomy fedha mfukoni mwake
Sidhani kama watanzania wapo serious sana na mambo ya siasa..sidhani kabisa wapo serious na yanga na simba mara mia zaidi kuliko siasa.
 
Jamaa kauza mayai ya kuku hadi kichwa kimeanza kukaa kama yai
 
Back
Top Bottom