Ukishakuwa kwenye utumishi wa umma hasa siasa, lazima ujadiliwe. Kwa mabaya au mazuri. Hutaki achana na siasa.Tafuta saluni yakike karibu na ulipo mkamjadili.
Mwanaume unakaa kujadili wadada bila umaalum wala chamaana alichofanya ni ufala sana
Mbona mnachokoza watu mnataka waseme yale wasiyotaka kusema kutokana na mifungo inayoondelea, Ubunge bado mpaka Mume akamshinda huo uraisi si ndio itakuwa balaa mwache akue kwanza amalize yoote.Mkuu usibeze ndoto zake, ni msomi mzuri na anapata uzoefu kamati nyeti hiyo
Mkuu haya maneno kila mtu anasema ndoa ilimshinda je mna uhakika ilikuwa ni ndoa kwa maana ya ndoa, je ilimshinda kweli? Kulikuwa na haja kutangaza kwenye media na Bungeni, kama kukataa jina la Kaluwa lisitumike kulikuwa na ulazima huo mpaka kupeleka Bungeni?Mbona mnachokoza watu mnataka waseme yale wasiyotaka kusema kutokana na mifungo inayoondelea, Ubunge bado mpaka Mume akamshinda huo uraisi si ndio itakuwa balaa mwache akue kwanza amalize yoote.
Labda watu wamenyuti wanaona mnaleta kupima kina cha maji hapa, Yule mwanasheria kapigana mke ashinde ubunge , kushinda dom huko wenye madaraka wakawa na wao wanajipigia mpka mwamba akahamaki na kwakuwa mwana sheria ndio nafuu yake ila ingekuwa masela wangemwagana ubongo jamaa wamejimilikisha na yeye katumika kama fundi bomba tu, ndio mana alikatazia jina lake asilitumie, hiyo segerea yenyewe kushinda tena sio kwa umahili wake ni hao sponsors wenye mamlaka, madaraka na mtonyo sasa atakuwaje presidaa jamani msilinganishe na Madame Presidaa kila mnayemuona.Mkuu haya maneno kila mtu anasema ndoa ilimshinda je mna uhakika ilikuwa ni ndoa kwa maana ya ndoa, je ilimshinda kweli? Kulikuwa na haja kutangaza kwenye media na Bungeni, kama kukataa jina la Kaluwa lisitumike kulikuwa na ulazima huo mpaka kupeleka Bungeni?
Sawa sawa MkuuLabda watu wamenyuti wanaona mnaleta kupima kina cha maji hapa, Yule mwanasheria kapigana mke ashinde ubunge , kushinda dom huko wenye madaraka wakawa na wao wanajipigia mpka mwamba akahamaki na kwakuwa mwana sheria ndio nafuu yake ila ingekuwa masela wangemwagana ubongo jamaa wamejimilikisha na yeye katumika kama fundi bomba tu, ndio mana alikatazia jina lake asilitumie, hiyo segerea yenyewe kushinda tena sio kwa umahili wake ni hao sponsors wenye mamlaka, madaraka na mtonyo sasa atakuwaje presidaa jamani msilinganishe na Madame Presidaa kila mnayemuona.
una maana kafulira hakukosea maamuzi kwa jesca kishoa Tate Mkuu?Alikuwa ni mke wa mtu kabisa. Jamaa (Kaluwa) baada ya kuona atakufa kwa ugonjwa wa moyo, akaona isiwe tabu. Alibwaga manyanga.
NB: Mwanamke akishaingia tu kwenye siasa, asilimia za kubakia mwaminifu kwenye ndoa hubakia kuwa chache sana.
Chunguza kwanza wanasiasa wote wa jinsia ya kike, na kutoka vyama vyote vya siasa nchini; halafu uone ni wangapi wapo kwenye ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jimbo lipi?? Sisi tuliopo segerea Bonyokwa tumetengwa
IPO kimara Bonyokwa na IPO Bonyokwa Kata iliyopo Ilala Jiji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bonyokwa iko segerea au kimara??
Nasemaje km huyu mama kashughulikia kukamilika barabara ya Maji Chumvi hii Kimanga Kisukuru Bonyokwa iliyojengwa kwa ZEGE tupu, emu mwacheni mara moja acheni kumsakama kwa maneno machafu enough is enough imetosha mwacheni apige kaziCheck hiyo.
Oooh hapo sawaIPO kimara Bonyokwa na IPO Bonyokwa Kata iliyopo Ilala Jiji.
Hapo Bonyokwa ni mpakani mwa jimbo la Segerea na la Kibamba
Sawa sawaNasemaje km huyu mama kashughulikia kukamilika barabara ya Maji Chumvi hii Kimanga Kisukuru Bonyokwa iliyojengwa kwa ZEGE tupu, emu mwacheni mara moja acheni kumsakama kwa maneno machafu enough is enough imetosha mwacheni apige kazi
Mkuu usibeze ndoto zake, ni msomi mzuri na anapata uzoefu kamati nyeti hiyo
Hebu subiri kidogo tushuhudie ngumi za juu juu, hizi za chinichini (za kushikana na kugalagala chini) hazipendezi.Ifikie pahala ContentCreator muwe mna linda heshima zq watu huu mtandao kitumika kuchafua watu ni kheri uzi kamq huu ukafutwa. nonsense .. kwan ndoa yake kuvunjika ni yy pekee ? Ndoa ngapi zinavunjika hapa duniani rena za ma VVIP kabisaa ...
Uzoefu wa kuachika..? Kama ameshindwa ku manage familia yenye less than 10 peoples ndo ataiweza nchi..?Mkuu usibeze ndoto zake, ni msomi mzuri na anapata uzoefu kamati nyeti hiyo
Lakini ndugu ndivyo ilivyo ukishakuwa kiongozi wa watu , maisha yako yatajadiliwa. Yanajadiliwa ya Rais itakuwa Mbunge au Waziri?Ifikie pahala ContentCreator muwe mna linda heshima zq watu huu mtandao kitumika kuchafua watu ni kheri uzi kamq huu ukafutwa. nonsense .. kwan ndoa yake kuvunjika ni yy pekee ? Ndoa ngapi zinavunjika hapa duniani rena za ma VVIP kabisaa ...