Book readers, tushirikishane App nzuri za kusomea (e-reader)

Nani anajua dictionary nzuri ambayo hata kama unasoma kitabu kwenye appl ingine unaweza uka click neno unalotaka kujua maana ikakupeleka moja kwa moja kwenye dictionary na kukupa maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NaDownload vitabu kipitia
1.Pdfdrive
2. Zlibrary au b-ok books.
Hapa kwenye hizi site ukisign up unapata vitabu kumi kwa siku. (Sasa nina email kumi) kwa siku naweza pakua vitabu 100

App nnayotumia kusomea ni foxit pdf.
Hii app
Kwanza ni bure
Mbili hulazimiki kusign up
Tatu inakupa access ya kukuza maandishi. Hutalazimika kuscroll left and right . Maandishi yanajipanga yenyewe katikati
Nne, ina night mode
Tano, unaweza kuchagua page uzifungue kama kitabu au kama word doc
Sita unaweza kuedit au kutake notes
Saba INAKUSOMEA KITABU KWA VIZURI. Hulazimiki kudownload audio books. Hii kila pdf inasoma audio, hata za kiswahili,
So kama unashuguli nyingi fungua tu kitabu unaweka audio mpaka unafika unapoenda kimeisha.
Tena audio yenyewe anakusomea mwanamke, maneno yanasikia, na unaweza kumwongezea speed asome haraka au kumpunguzia asome taratibu.

Ipitie, utakuja kunishukuru.
Jaha out!
 
Nani anajua dictionary nzuri ambayo hata kama unasoma kitabu kwenye appl ingine unaweza uka click neno unalotaka kujua maana ikakupeleka moja kwa moja kwenye dictionary na kukupa maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu ColorDict Dictionary.

Kwa mimi kwenye hii app ya PrestigioReader, ukitaka kutafuta neno, inakupa option ya kuchagua dictionary, sasa mimi nimeinstall hiyo. Inaview ukiwa kwenye reader bila kutoka. View attachment 1790906View attachment 1790905View attachment 1790903View attachment 1790904
 
Brooo
Broo it's just my hunch you do fx? Or stock market
 
Kwenye ios nadhani Books ya Apple bado haina mpinzani

Kwenye Tab yangu ya Android natumia Google Play Book

Nadhani sasa nijaribu na hizi 3rd part App nione utaofauti
 
Kwenye ios nadhani Books ya Apple bado haina mpinzani

Kwenye Tab yangu ya Android natumia Google Play Book

Nadhani sasa nijaribu na hizi 3rd part App nione utaofauti

Books ya Apple vitabu unavipataje maana vingi uki search hamna au huwa ww unatumia njia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…