Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshawahi kutumia Media365reader jaribu na nipe mrejeshoReadEra ni best of all that i've ever used.
Kindle kwa kweli toka nilipopata site moja (Zlibrary), nilishaacha nunua vitabu.
Hii Maktaba siifahamu, ngoja niicheck.
Hizi unazotumia wewe hazina Adds, nachukizwa na adds kwenye applThese two are enough for meView attachment 1790356View attachment 1790351
Mkuu mbona nikipakua hapa kwenye file sioni kitu
Jaribu ColorDict Dictionary.Nani anajua dictionary nzuri ambayo hata kama unasoma kitabu kwenye appl ingine unaweza uka click neno unalotaka kujua maana ikakupeleka moja kwa moja kwenye dictionary na kukupa maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu ColorDict Dictionary.
Kwa mimi kwenye hii app ya PrestigioReader, ukitaka kutafuta neno, inakupa option ya kuchagua dictionary, sasa mimi nimeinstall hiyo. Inaview ukiwa kwenye reader bila kutoka. View attachment 1790906View attachment 1790905View attachment 1790903View attachment 1790904View attachment 1790907
Broo it's just my hunch you do fx? Or stock marketKwa wasoma vitabu, kutokana na sababu mbalimbali, wengi tunatumia zaidi softcopies badala ya hardcopies. Formats za vitabu zilizotawala ni pdf, ePub na Mobi. Mimi binafsi napendelea ePub au mobi kuliko pdf sababu ya fonts za pdf ni ndogo ndogo sana.
Hivyo kwenye kusoma, App unayotumia inaweza kukuvutia kusoma au la. Mimi binafsi ninatumia App mbili kwenye kusoma, sababu ninasoma vitabu vya namna mbili, Novels and Non-novels.
Non-Novels.
Nasoma zaidi vitabu vya Non fictions kama vya Historia, wasifu, Sayansi, Siasa n.k. Hivyo kwenye usomaji hujikuta nahitaji kutake Note na napenda zaidi Fonts ziwe kubwa na ndefu huku nikiwa na display kubwa. Hivyo baada ya Safari ndefu ya kutumia na kuacha, nimejikuta ni mlevi wa App ya ReadEra.
View attachment 1789796
Naipenda App sababu, ya Fonts zake zinavutia sana kusoma (inakupa uchaguzi wa fonts). Font hizi nimezi-custumize hivi;
View attachment 1789799
Pia inakupa mfumo mzuri wa kutengeneza folders, kama za To Be Read list, Read List, Collection (hapa unaweza tengeneza 'shelf' yako ya vitabu kutokana na mpangilio uutakao mf, History, Politics, Novels, Siasa, Tawasifu n.k. Inakupa uwezo wa kupanga kwa Authors. Sifa yake nyingine kubwa, hakuna Ads kabisa. App nyingi zinakera kwa Ads.
View attachment 1789805
View attachment 1789806
Novels.
Novels pia zinavutia ikiwa na fonts style fulani fulani. Hapa natumia App ya PrestigioReader.
View attachment 1789808View attachment 1789809View attachment 1789810
App nzuri yenye inayokupa muonekano na nyenzo sahihi za kutumia, kwenye usomaji, huvutia sana kusoma na kusoma. Hatimaye kukimaliza kitabu, kukupa urahisi wa kufanya reviews na discussions kwenye forums mbalimbali.
Tushirikishane, wewe unatumia App gani? Inakuvutia vipi?
👍
Kwenye ios nadhani Books ya Apple bado haina mpinzani
Kwenye Tab yangu ya Android natumia Google Play Book
Nadhani sasa nijaribu na hizi 3rd part App nione utaofauti
Mkuu hujambo? Nisaidie soft copy ya "The Vagina Bible"Ukianzia tu humu Jf kuna soft copies nyingi tu