Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

 
mostly proffesional books, nje ya taaluma nimesoma novel mbili
 
naahidi mwisho wa mwaka ujao mola akitupa wepesi nita comment nikiwa nimesoma vitabu kadhaa, mwaka huu umepita nikiwa na hobby tofauti kabisa ya kuangalia documentaries kitu ambacho hakijengi kwa kiasi kile kitabu kinafanya.

hongereni wote mliosoma zaidi ya vitabu kumi bora, kitabu bora ni tupa ya kunolea ubongo; silaha nadhifu ya binadam.
 
 
Jamani mie nataka Kuwa mkalimani ningependelea zaidi vitabu vizuri vya fani hii vya lugha ya kiingereza nawaomba mnisaidie
Nalog off
 
Dark city ni kitabu gani cha Samora Machel

Mimi nimesoma the Art of War - Sun Tzu
Pili nimesoma Dead Aid. . By Zambian writer Dambisa Moyo

Kinaitwa "S for Samora, A Lexical Biography of Samora Machel and Mosambican Dream" by Sara LeFanu.
 
Good morning Holy Spirit kimeandikwa na Benny Hann kinaelezea uhalisia wa Roho Mtakatifu,jinsi anavyofanya kazi na uwezo wake wa kufanya kazi nakipenda sana hichi kitabu na kimenikuza sana katika ufahamu wa kumjua zaidi Roho Mtakatifu
 
Holy bible.nimesoma new testament maranying na kurudia rudia na old testament kwa baadhi ya vitabu

Superb.....mimi mwenyewe nimeshaanza kuisoma na nimepanga mpaka 2020 niwe nimeielewa na kuimaliza na naamini Mungu ataniongoza katika hili
 
 
Hongera mkuu kwa juhudi zako za kusoma vitabu mwaka huu 2015!

Binafsi nimesoma kwa uchache vitabu vifuatavyo:
Sina haja ya kuweka hapa maudhui ya vitabu hivi kwa vile wengi wenu mmevipitia,
1. The Holy Bible,
2. Body Power - Dr. Vernon Coleman,
3. How to get whatever you want - M.R. Kopmeyer,
4. Don't let college hamper your education - Amitabh Singh,
5. Think Big & Gifted hands - Ben Carson
6. You can be an effective speaker - Dr. George Kaitholil,
7. Lay her among the lilies - J.h.Chase
8. Unyayo wa Julius Nyerere - Nkwabi Ng'wanakilala,
9. The master key to riches - Napoleon Hill,
10. The magic of thinking big - David Schwartz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…