OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ilani ya Chadema naipitia kila siku kuona tatizo ilikuwa nini.ile ilani ilitaka kumkomboa mtanzania kifikra,kumpa elimu.lakini yeye kagoma amechagua ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1:Awakening the entrepreneur within you.
~ukiwa na tabia ya maono binafsi utaishia kuishi maisha ya stress, ukiwa na maono
Yasioyobinafsi/impersonal dreamer juu ya jamii kifo tu ndio kitakuwa kikomo cha
Kufanikiwa kwako.
2:Speak like CEO
~ kudharau kujiendeleza kuzungumza kwa usahahihi mbele ya media,watu,
Vikao, mazungumzo yasiyo rasmi kumewafanya viongozi wengi wadharaulike na watu wao Wa chini na juu.
3:Five love languages
~lifespan ya waliooana kihisia na mihemko ni miaka miwili, zaidi ya hapo ni machafuko au kuachana kabisa
Misunderstanding ya partners love language lead to disaster
1: Words of affirmation, 2: quality time,3:quality activity,4:gifts5: gift of self\presence
4:Speak to win
~ ukiona mtu anaongea vizuri watu wanajiandaa kumsikiliza kila anaposimama kuna
Kazi ya ziada kafanya/practice nyuma ya kioo. Na mbinu lukuki sio kitu ChA kuzaliwa nacho. Hata wewe
Unaweza anza Leo ukamfunika hata Obama.
5:Righteousness by faith/do it yourself religion
Kujisifia kwa vitu alivyokufanyia Mungu ni kujiabudu. Wanadamu hatukuzaliwa na dhambi
Bali mwelekeo Wa kutenda dhambi, ndio maana unayopenda kufanya hufanyi Ila usiyoyapenda ndio unafanya.
6:How to stop worring and start living
Kuna mbinu na mifano kadhaa ya kupambana na hofu. Ushauri ishi Leo, ishi maisha yako.
7:How to act like CEO
Katika sifa zote za viongozi, sifa kuu ni uadilifu sio uchapakazi.
Humu utaongea na ma CEO wengi na utaelewa kwa nini Uchapakazi huwezi kuwa substitute ya uadilifu.
8😛rayers
Zipo njia zielekeazo moyoni mwako, shetani anajua njia ipi apitie akudhoofishe,
Maombi peke yako faragha na Muumba yatakusaidia kujua udhaifu.
Haya yana maana sana kuliko kutangatanga kwa wanaojiita watumishi na wanamaombi.
9:The end of power
Tupo katika 3rd stage of industrial revolution. Duniani ya sasa itaongozwa na kitu kinaitwa IOT au internet of things. Mfano China wanajiandaa kwa hiki, EU wanajiandaa na Digital Europe, Kenya wanajenga IT city konza klm kadhaa kati ya Nairobi na Mombasa.
Taifa endelevu linapaswa kujipanga kuendana na dunia inakoenda ie digital world.
Power trend inaonyesha ni rahis kupata cheo au mamlaka na itakuwa vigumu mtawala kuendelea kukalia kiti chake muda mrefu kama miaka ya zmn. Hii fact ni kwa wanasiasa,makampuni,makanisa, wamiliki Wa makampuni etc.
10:Midas touch by r.kiwosaki and Donald Trump
~strength of character, Focus,Brand,Relationship, interpersonal intelligence
Vitakupa uwezo Wa kubadilisha chochote kuwa na thamani kama dhahabu.
11:Self reliance
Unapoamua kujitegemea usiogope kuwa tofauti, Aristotle,yesu, Galileo, hata Newton hawakueleweka kwa watu,
Usitafute kueleweka, kama uko sahihi songa mbele watakuelewa baadae. Pia ishi wewe kama wewe usiigilizie maisha.
12:Visualizing projects management
Humu utajifunza mbinu za kuendesha miradi kwa kugeuza methodologies ngumu
Kuwa vitu vyepesi vya kufirika na ndivyo itakavyokuwa rahisi kwako kuufanikisha mradi kwa wakati.
13😛rojects portfolio management
Sio kila mradi utaleta tija katika organizational strategic goals.hapa utajifunza jinsi
Ya kuchagua na kurun miradi yenye kufanya taasisi yako ikimbie mchakamchaka. Miradi sahihi. Ie portfolio projects.
14:Effective project management
Mara nyingi miradi inafanywa na mutidisplinary and multiskilled team. Utajifunza jinsi ya kuwAfanya hawa watu wakamilishe kazi kwa muda,ukubwa/scope, gharama bila kusahau ubora.
15:52 weeks of sales success
Humu utajua tofauti kati ya client na customer. Na makosa tunayofanya tunapodeal na watu hawa.
16:The time worrier
Usiwe na tabia ya kuhairishahairisha. Kamilisha kwanza yote uliyohairisha ndio uanze kipya inapobidi.
Jipe dakika tatu kwa kufanya kitu unachotaka kuhairisha. Utajikuta unakifanya.
17:77 mental toughness of the world-class
. Utajua tofauti kati ya low class, mediocre na world-class person.
Utajifunza Compartmentalization/ Presidential problem solving techniques.
18:What to say when you talk to yourself
Hapa utadeal na ubongo wako. Siri ni kuwa unapaswa kureprogram\rewire your brain ili uachane na hayo maisha.
Mbinu zote zimo. Mzizi ni how to deal with your "self talk"
19:The art of war
Usipigane vita ambayo hutapata faida.
20:Eat that ugry frog
80\20 principle anza na kitu kigumu ambacho kinabeba mzizi Wa hilo unakifanya.
Mfano wateja ishirini tu kati ya mia ndio wamefanya upate faida. Anza na hawa.
21:Moonwalking like einstain
Kwa nini unasahau, mbinu za hatari za kukumbuka.
Invest in your internal memory, Books and writtings are external memories.
Maandishi ya kwanza yalipingwa vikali kuwa watu wangekuwa vilaza.
22:Nehemia, timotheo 1,2 and exodus/bible
Nehemiah kijana mdogo aliyejenga ukuta kuzunguka taifa lake la yuda ulioshindikana miaka mia yeye katumia siku 52
Katkt ya upinzani mkali Wa tobia,waarabu,wafiristi na wamoabu.
Timotheo kiongozi Kijana Wa kns BC.
Musa alijifunza delegation kutokana kwa babamkwe pamoja na trainings zote za kwa farao.
23:The 360? leader
Utajifunza mbinu za kuwa viongozi Wa kati yaani unareport kwa watu na kuna watu wanareport kwako.
24😀ealing with toxic shame
Ulipokuwa mtoto ilikuwa na confidence na mbunifu kuliko sasa.
25:Man's search for meaning
Kunyang'anywa uhuru sio mwisho wako, hata katikati ya gereza Unaweza andika kitabu.
Kuna concept ya existential vacuum. Watu wengi wanakimbilia kwenye sexual,uchovu,madawa kufill hili gap/vacuum.p
26:The leader without a title
Uongozi sio cheo. Usisubiri hadi uwe na cheo ndio upractice uongozi. Wew ni viongozi
Hata kama ni mfagiaji.
27:Why nations fail
Humu utakunata na Critical Juncture, pia utajua kwa nini afrika, ulaya mashariki ni maskini.
Utajua kwa nini Malaysia na botwana sio maskini wakati zipo kati ya maskini.
28😀eng Xioping and the transformation of China
China iko hapa kiuchumi sio kwa wazo LA mao. Ni Kijana Deng Xioping.
Suspected the world ever most unadvertised famous man. I wish Magufuli
Asome hiki kitabu.
29: audio books and personal development lectures from Jim Rohn
Invest in personal development to join the 5% of this world.
30: Inspirational speeches from Dr korateng Pipim and Dr Otabil Mensal
Africa youthes are unearthed world potentials.
......
Biographies
1: biography of wiston Spenser lameck Churchill
~baba Wa taifa Wa england aliyetawala katika mazingira magumu lkn kaacha
Somo LA kiistoria kwa viongozi duniani.
2: biography of Abraham Lincoln
Alijisomea mwenyewe degree ya sheria miaka mitatu bila kwenda shule.
The first us President with 0 administration experience but turned to be remarkable leader in the world history.
3:Biography of Benjamin Franklin
Muanzilishi Wa ukombozi na baba Wa taifa Wa marekani. Alikutana na mabadikiko ya fikra england ulipokuwa
Kijana Wa miaka 15. Yangu siku hiyo akawa tofauti. Penyslovia walipohitaji viongozi
Hawakuangaika kupika kura aliteuliwa yeye tu kwa mambo aliyowafanyia.
4:Biography of Nicola Tesla
Mwnasayansi aliyepotezwa na media za magharibi lakini Leo dunia mzima hata wewe unatumia kifaa
Cha Matokeo ya kazi yake. Kuanzia umeme hadi ndege, kila mahala kuna mkono Wa ubunifu wake.
5:Biography of Nicola Machiavelli the father of Modern politics.
Muitaliano ambaye karibu dunia mzima ya ziada hususani marekani wanatumia principle zake.
6: Biography of David Ben Gulion Zionist father of nation
Alilibadili jangwa LA negevu kuwa makazi. Pia kutokea negevu Leo Israel inalisha ulaya na dunia.
Alifanya kuishi jangwani kibutz sda boker (jina la makazi yake) ili kuwaonyesha hatanii anachodream na alizikwa hapo.mahala ambapo uingereza na UN walisema hawawezi kuishi watu zaidi y watu 2M Leo ni zaidi ya watu 8M
7: Biography of Mitt Lomney
Anachokifanya Magufuli Leo gavana mrepublican huyu Wa messachuttes alikifanya japo
Baadae alishindwa na Obama uchaguzi uliopita. Utafiti unaonyesha walitumia Leo uchaguzi
Jamaa atamuacha mbali sana Obama. Ni tajiri, alikataa mishahara Wa ugavana. Mwaka Wa kwanza
Alisave mapesa mabilioni ya kutosha jimboni. Alisema agombee Leo wakina Donald Trump wanakaa kimya
Maana hawamuwezi chamani kwao.
Natanguliza shukrani[/QUOTE kwa idadi na aina za vitabu nimependa ila natamani kujua ni kwa kiasi umebadilika kutokana kusoma. ni muhimu zaidi ila inaweza kuwa uzi mwingine.
Mwaka huu nimepiga kama 6 hivi. Kimojawapo nikuhusu Samora Machel
i tried to check on youtube, nothing showed up!!! your assistance please... any link if you have!!Blaze Fire book talks about Demons and their secrets , Warfare in Intercession Prayers .. Know your Enemies and how to fight back with them in Prayers . It is very Powerful book . Dear you can also listen a clip in YouTube, type a Blaze Fire . Usipoipata let me know please , I would be happy to assist you .. Na since you will learn about Demons and Spiritual Warfare , don't feel surprise ukianza Ku feel headaches just cast it out in Faith and you will be fine ... Thanks.
i tried to check on youtube, nothing showed up!!! your assistance please... any link if you have!!
Okay Let me find for you dear ..Thanks..
i tried to check on youtube, nothing showed up!!! your assistance please... any link if you have!!
Watch "Advanced Tactics of Spiritual Warfare - NUWI Nighttime Unified Warfare Intercession" on YouTube - https://youtu.be/bWubMIeKPBo
Dark city ni kitabu gani cha Samora Machel
Mimi nimesoma the Art of War - Sun Tzu
Pili nimesoma Dead Aid. . By Zambian writer Dambisa Moyo
Holy bible.nimesoma new testament maranying na kurudia rudia na old testament kwa baadhi ya vitabu
1:Awakening the entrepreneur within you.
~ukiwa na tabia ya maono binafsi utaishia kuishi maisha ya stress, ukiwa na maono
Yasioyobinafsi/impersonal dreamer juu ya jamii kifo tu ndio kitakuwa kikomo cha
Kufanikiwa kwako.
2:Speak like CEO
~ kudharau kujiendeleza kuzungumza kwa usahahihi mbele ya media,watu,
Vikao, mazungumzo yasiyo rasmi kumewafanya viongozi wengi wadharaulike na watu wao Wa chini na juu.
3:Five love languages
~lifespan ya waliooana kihisia na mihemko ni miaka miwili, zaidi ya hapo ni machafuko au kuachana kabisa
Misunderstanding ya partners love language lead to disaster
1: Words of affirmation, 2: quality time,3:quality activity,4:gifts5: gift of self\presence
4:Speak to win
~ ukiona mtu anaongea vizuri watu wanajiandaa kumsikiliza kila anaposimama kuna
Kazi ya ziada kafanya/practice nyuma ya kioo. Na mbinu lukuki sio kitu ChA kuzaliwa nacho. Hata wewe
Unaweza anza Leo ukamfunika hata Obama.
5:Righteousness by faith/do it yourself religion
Kujisifia kwa vitu alivyokufanyia Mungu ni kujiabudu. Wanadamu hatukuzaliwa na dhambi
Bali mwelekeo Wa kutenda dhambi, ndio maana unayopenda kufanya hufanyi Ila usiyoyapenda ndio unafanya.
6:How to stop worring and start living
Kuna mbinu na mifano kadhaa ya kupambana na hofu. Ushauri ishi Leo, ishi maisha yako.
7:How to act like CEO
Katika sifa zote za viongozi, sifa kuu ni uadilifu sio uchapakazi.
Humu utaongea na ma CEO wengi na utaelewa kwa nini Uchapakazi huwezi kuwa substitute ya uadilifu.
8😛rayers
Zipo njia zielekeazo moyoni mwako, shetani anajua njia ipi apitie akudhoofishe,
Maombi peke yako faragha na Muumba yatakusaidia kujua udhaifu.
Haya yana maana sana kuliko kutangatanga kwa wanaojiita watumishi na wanamaombi.
9:The end of power
Tupo katika 3rd stage of industrial revolution. Duniani ya sasa itaongozwa na kitu kinaitwa IOT au internet of things. Mfano China wanajiandaa kwa hiki, EU wanajiandaa na Digital Europe, Kenya wanajenga IT city konza klm kadhaa kati ya Nairobi na Mombasa.
Taifa endelevu linapaswa kujipanga kuendana na dunia inakoenda ie digital world.
Power trend inaonyesha ni rahis kupata cheo au mamlaka na itakuwa vigumu mtawala kuendelea kukalia kiti chake muda mrefu kama miaka ya zmn. Hii fact ni kwa wanasiasa,makampuni,makanisa, wamiliki Wa makampuni etc.
10:Midas touch by r.kiwosaki and Donald Trump
~strength of character, Focus,Brand,Relationship, interpersonal intelligence
Vitakupa uwezo Wa kubadilisha chochote kuwa na thamani kama dhahabu.
11:Self reliance
Unapoamua kujitegemea usiogope kuwa tofauti, Aristotle,yesu, Galileo, hata Newton hawakueleweka kwa watu,
Usitafute kueleweka, kama uko sahihi songa mbele watakuelewa baadae. Pia ishi wewe kama wewe usiigilizie maisha.
12:Visualizing projects management
Humu utajifunza mbinu za kuendesha miradi kwa kugeuza methodologies ngumu
Kuwa vitu vyepesi vya kufirika na ndivyo itakavyokuwa rahisi kwako kuufanikisha mradi kwa wakati.
13😛rojects portfolio management
Sio kila mradi utaleta tija katika organizational strategic goals.hapa utajifunza jinsi
Ya kuchagua na kurun miradi yenye kufanya taasisi yako ikimbie mchakamchaka. Miradi sahihi. Ie portfolio projects.
14:Effective project management
Mara nyingi miradi inafanywa na mutidisplinary and multiskilled team. Utajifunza jinsi ya kuwAfanya hawa watu wakamilishe kazi kwa muda,ukubwa/scope, gharama bila kusahau ubora.
15:52 weeks of sales success
Humu utajua tofauti kati ya client na customer. Na makosa tunayofanya tunapodeal na watu hawa.
16:The time worrier
Usiwe na tabia ya kuhairishahairisha. Kamilisha kwanza yote uliyohairisha ndio uanze kipya inapobidi.
Jipe dakika tatu kwa kufanya kitu unachotaka kuhairisha. Utajikuta unakifanya.
17:77 mental toughness of the world-class
. Utajua tofauti kati ya low class, mediocre na world-class person.
Utajifunza Compartmentalization/ Presidential problem solving techniques.
18:What to say when you talk to yourself
Hapa utadeal na ubongo wako. Siri ni kuwa unapaswa kureprogram\rewire your brain ili uachane na hayo maisha.
Mbinu zote zimo. Mzizi ni how to deal with your "self talk"
19:The art of war
Usipigane vita ambayo hutapata faida.
20:Eat that ugry frog
80\20 principle anza na kitu kigumu ambacho kinabeba mzizi Wa hilo unakifanya.
Mfano wateja ishirini tu kati ya mia ndio wamefanya upate faida. Anza na hawa.
21:Moonwalking like einstain
Kwa nini unasahau, mbinu za hatari za kukumbuka.
Invest in your internal memory, Books and writtings are external memories.
Maandishi ya kwanza yalipingwa vikali kuwa watu wangekuwa vilaza.
22:Nehemia, timotheo 1,2 and exodus/bible
Nehemiah kijana mdogo aliyejenga ukuta kuzunguka taifa lake la yuda ulioshindikana miaka mia yeye katumia siku 52
Katkt ya upinzani mkali Wa tobia,waarabu,wafiristi na wamoabu.
Timotheo kiongozi Kijana Wa kns BC.
Musa alijifunza delegation kutokana kwa babamkwe pamoja na trainings zote za kwa farao.
23:The 360? leader
Utajifunza mbinu za kuwa viongozi Wa kati yaani unareport kwa watu na kuna watu wanareport kwako.
24😀ealing with toxic shame
Ulipokuwa mtoto ilikuwa na confidence na mbunifu kuliko sasa.
25:Man's search for meaning
Kunyang'anywa uhuru sio mwisho wako, hata katikati ya gereza Unaweza andika kitabu.
Kuna concept ya existential vacuum. Watu wengi wanakimbilia kwenye sexual,uchovu,madawa kufill hili gap/vacuum.p
26:The leader without a title
Uongozi sio cheo. Usisubiri hadi uwe na cheo ndio upractice uongozi. Wew ni viongozi
Hata kama ni mfagiaji.
27:Why nations fail
Humu utakunata na Critical Juncture, pia utajua kwa nini afrika, ulaya mashariki ni maskini.
Utajua kwa nini Malaysia na botwana sio maskini wakati zipo kati ya maskini.
28😀eng Xioping and the transformation of China
China iko hapa kiuchumi sio kwa wazo LA mao. Ni Kijana Deng Xioping.
Suspected the world ever most unadvertised famous man. I wish Magufuli
Asome hiki kitabu.
29: audio books and personal development lectures from Jim Rohn
Invest in personal development to join the 5% of this world.
30: Inspirational speeches from Dr korateng Pipim and Dr Otabil Mensal
Africa youthes are unearthed world potentials.
......
Biographies
1: biography of wiston Spenser lameck Churchill
~baba Wa taifa Wa england aliyetawala katika mazingira magumu lkn kaacha
Somo LA kiistoria kwa viongozi duniani.
2: biography of Abraham Lincoln
Alijisomea mwenyewe degree ya sheria miaka mitatu bila kwenda shule.
The first us President with 0 administration experience but turned to be remarkable leader in the world history.
3:Biography of Benjamin Franklin
Muanzilishi Wa ukombozi na baba Wa taifa Wa marekani. Alikutana na mabadikiko ya fikra england ulipokuwa
Kijana Wa miaka 15. Yangu siku hiyo akawa tofauti. Penyslovia walipohitaji viongozi
Hawakuangaika kupika kura aliteuliwa yeye tu kwa mambo aliyowafanyia.
4:Biography of Nicola Tesla
Mwnasayansi aliyepotezwa na media za magharibi lakini Leo dunia mzima hata wewe unatumia kifaa
Cha Matokeo ya kazi yake. Kuanzia umeme hadi ndege, kila mahala kuna mkono Wa ubunifu wake.
5:Biography of Nicola Machiavelli the father of Modern politics.
Muitaliano ambaye karibu dunia mzima ya ziada hususani marekani wanatumia principle zake.
6: Biography of David Ben Gulion Zionist father of nation
Alilibadili jangwa LA negevu kuwa makazi. Pia kutokea negevu Leo Israel inalisha ulaya na dunia.
Alifanya kuishi jangwani kibutz sda boker (jina la makazi yake) ili kuwaonyesha hatanii anachodream na alizikwa hapo.mahala ambapo uingereza na UN walisema hawawezi kuishi watu zaidi y watu 2M Leo ni zaidi ya watu 8M
7: Biography of Mitt Lomney
Anachokifanya Magufuli Leo gavana mrepublican huyu Wa messachuttes alikifanya japo
Baadae alishindwa na Obama uchaguzi uliopita. Utafiti unaonyesha walitumia Leo uchaguzi
Jamaa atamuacha mbali sana Obama. Ni tajiri, alikataa mishahara Wa ugavana. Mwaka Wa kwanza
Alisave mapesa mabilioni ya kutosha jimboni. Alisema agombee Leo wakina Donald Trump wanakaa kimya
Maana hawamuwezi chamani kwao.
Natanguliza shukrani[/QUOTE kwa idadi na aina za vitabu nimependa ila natamani kujua ni kwa kiasi umebadilika kutokana kusoma. ni muhimu zaidi ila inaweza kuwa uzi mwingine.
Mkuu hii inathread yake,
Lakini the first book to read ilikuwa ni zawadi kutokana kwa bibi yangu aliyeishia darasa LA nne. Aliposikia kinasifiwa alininunulia kama zawadi THINK BIG form two miaka hiyo.
Tangu ni kisome academically sijawahi kufeli tena hadi namaliza elimu zote nilizopitia. Hata nikiambiwa nirudi Leo shule kwa fani yoyote ile haitanisumbua kbs.
Piz humo ndio niigundua siri ya kwa nini nimesoma vitabu. Tena in all angles of life.
Kukujibu swali lako kwa ufupi Billionaire Wallen Buffet anasema " I read a lot of books so that I may not make silly investment decision"
Kwangu they have reduced error margin in every aspect of my life.
Kwa vitabu hivyo specifically kila kimoja kina impact yake na tangible results.
I now practice kila nilichojifunza and I see exponential outcome katika kila niichokuwa anafanya last year.
Change is process, naamini by read,rereading and practice practice practice these changes will cement.
Nimetoa general lkn maana hapa sio mahala pake.