nickyrabit
Member
- Nov 29, 2013
- 33
- 5
Kuna kitabu ambacho ni ka mwongozo wa kuijua biblia kinaitwa JE BIBLIA INAFUNDISHA NINI HASA ni kizuri sana mkuu
Hiki ndo kitabu bora zaidi nilichowahi kusoma maishani mwangu
Kuna kingine pia kinaitwa
JE KUNA MUUMBA ANAYEKUJALI? Kimechambua sayansi kiustadi na kwa lugha nyepesi
Uko maeneo ghaniMkuu kama hutojali nitapataje hivyo vitabu????
Trust me kiranga jibu ya hilo swali lipo na simple kabisa.tafuta hicho kitabu kaka angu utajaniambia.moja ya maswali magumu ambayo nilipata majibu kupitia hicho kitabu ni haya hapa
1.kwanini mungu anaruhusu tuteseke?mbn tunaambiwa ni upendo
2.je ulimwengu ulianza miaka 10000 tu iliyopita??mbn geologist,astronomy wamethibitisha kuwa ulimwengu una zaidi ya miaka billions.
3.kwanini kuna sheria za asili?je ulimwengu ungekuwa bora bila dini?
4.maoni ya mungu kuhusu ukatili wa kidini
5.je mabaki ya kale ya wanyama yanathibitisha kwamba mageuzi(evolution) ilitokea?
6.kwanini baada ya hawa na adam baada ya kutenda dhambi mungu hakuwaangamiza alafu aumbe binadam wengine?
Kupitia kile kitabu nilipata majibu sahihi kabisa
siyo mahala pake kiranga.natafuta thread ihusuyo haya masuala ya udini then nitakujibia huko huko.ila hilo swali limejibiwa kihurahisi tu.cha muhimu pitia hicho kitabu kama upo na interest ya kusoma vitabu then majibu ya swali lako laja soon kule jamii intelligenceHujajibu swali uliloulizwa.
Tlsb naweza jiunga na mimi?Nimesoma vitabu vingi sana tu tangu niwe member TLSB ingawa spidi yangu ya usomaji imepungua sana tangu ninunue smart phone Hapo oktoba. Sijui ndio ushamba bado unanisumbua!? Kwa salsa nasoma Error In Judgement ni stori moja matata sana.
siyo mahala pake kiranga.natafuta thread ihusuyo haya masuala ya udini then nitakujibia huko huko.ila hilo swali limejibiwa kihurahisi tu.cha muhimu pitia hicho kitabu kama upo na interest ya kusoma vitabu then majibu ya swali lako laja soon kule jamii intelligence
Hamna cha ugumu wala nini mkuuHiyo ni gia tu ya kutojibu.
Kama kweli inatafuta thread ya kujibu weka link hapa ukiipata au kuanzisha.
Vinginevyo umekwepa swali.
Tlsb naweza jiunga na mimi?
Msaada wako mkuu na mimi niwe pamoja nanyiNaam bila shaka. Unaweza kujiunga.
Hamna cha ugumu wala nini mkuu
Haipiti kesho nitakuwa nimeshakujibu vizuri tu kwa sasa nipo bize kidogo na maelezo ni marefu mpka niwe na 💻 pc.trust me kiranga hapo sijaona ugumu wowote wa hilo swali
athante chief. aibu hii niliiona last year. ni mipango na kuwa na commitment partners au group with strick rules. siku ukiwa habit you can walk by your own.
next year, na plan nisome zaidi ya vitabu mia.
my awareness status Leo ni tofauti na nilivyoanza mwaka.
"books are for reading" benjamin Carson
unakuwa na picha, elfu kumi na kuna kaform unajaza kwa mdhamini/mwenyekiti wa mtaa.Msaada wako mkuu na mimi niwe pamoja nanyi