Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

*The Slight Edge
*Lucifer effect
*The Alchemist
*Become a better you
*Enchantment
*Rich dad poor dad
*Walden
*Lettters from a roman slave
*Senneca the younger
*Beyond good and evil
*Meditation by Marcus Aurelius
*4 hour work week
*Who moved my cheese
*33 strategies of war
*48 laws of power
*Talent is over rated
*Mastery
*Family first by dr phill
* Self Reliance by Ralph Waldo Emerson

Vingine nmesahau titles kwa sasa
 
Kuna kitabu ambacho ni ka mwongozo wa kuijua biblia kinaitwa JE BIBLIA INAFUNDISHA NINI HASA ni kizuri sana mkuu
Hiki ndo kitabu bora zaidi nilichowahi kusoma maishani mwangu
Kuna kingine pia kinaitwa
JE KUNA MUUMBA ANAYEKUJALI? Kimechambua sayansi kiustadi na kwa lugha nyepesi

Mkuu kama hutojali nitapataje hivyo vitabu????
 
Kikosi Cha kisasi by Elvis Musiba

Njama by Elvis musiba

Mgodi wa Mwadui by Elvis musiba

Salamu kutoka kuzimu By Ben Ntobwa

Mikataba Ya Kishetani By Ben Ntobwa..

Tutarudi na Roho Zetu...

Mikononi mwa nunda

Rais anampenda mke wangu

Machozi Siku ya Wapendanao

mkasa wa Hayawani

Najisikia kuua tena

The Truth Hidden about KGB

na Vingine kibao...

Nadhani vinafikia 30
 
Nmesoma vinne na kwasasa nasoma cha tano knaitwa!""why u ar dumb, sick, broke cha randy gage
 
Pia nmeenjoy kusoma ktabu knaitwa "ukombozi wa fikra: heri utumwa wa mwili kuliko akili"
cha Denis Mpagaze
 
Nimesoma vitabu vingi sana tu tangu niwe member TLSB ingawa spidi yangu ya usomaji imepungua sana tangu ninunue smart phone Hapo oktoba. Sijui ndio ushamba bado unanisumbua!? Kwa salsa nasoma Error In Judgement ni stori moja matata sana.
 
Trust me kiranga jibu ya hilo swali lipo na simple kabisa.tafuta hicho kitabu kaka angu utajaniambia.moja ya maswali magumu ambayo nilipata majibu kupitia hicho kitabu ni haya hapa
1.kwanini mungu anaruhusu tuteseke?mbn tunaambiwa ni upendo
2.je ulimwengu ulianza miaka 10000 tu iliyopita??mbn geologist,astronomy wamethibitisha kuwa ulimwengu una zaidi ya miaka billions.
3.kwanini kuna sheria za asili?je ulimwengu ungekuwa bora bila dini?
4.maoni ya mungu kuhusu ukatili wa kidini
5.je mabaki ya kale ya wanyama yanathibitisha kwamba mageuzi(evolution) ilitokea?
6.kwanini baada ya hawa na adam baada ya kutenda dhambi mungu hakuwaangamiza alafu aumbe binadam wengine?
Kupitia kile kitabu nilipata majibu sahihi kabisa

Hujajibu swali uliloulizwa.
 
Hujajibu swali uliloulizwa.
siyo mahala pake kiranga.natafuta thread ihusuyo haya masuala ya udini then nitakujibia huko huko.ila hilo swali limejibiwa kihurahisi tu.cha muhimu pitia hicho kitabu kama upo na interest ya kusoma vitabu then majibu ya swali lako laja soon kule jamii intelligence
 
Nimesoma vitabu vingi sana tu tangu niwe member TLSB ingawa spidi yangu ya usomaji imepungua sana tangu ninunue smart phone Hapo oktoba. Sijui ndio ushamba bado unanisumbua!? Kwa salsa nasoma Error In Judgement ni stori moja matata sana.
Tlsb naweza jiunga na mimi?
 
siyo mahala pake kiranga.natafuta thread ihusuyo haya masuala ya udini then nitakujibia huko huko.ila hilo swali limejibiwa kihurahisi tu.cha muhimu pitia hicho kitabu kama upo na interest ya kusoma vitabu then majibu ya swali lako laja soon kule jamii intelligence

Hiyo ni gia tu ya kutojibu.

Kama kweli inatafuta thread ya kujibu weka link hapa ukiipata au kuanzisha.

Vinginevyo umekwepa swali.
 
Hiyo ni gia tu ya kutojibu.

Kama kweli inatafuta thread ya kujibu weka link hapa ukiipata au kuanzisha.

Vinginevyo umekwepa swali.
Hamna cha ugumu wala nini mkuu
Haipiti kesho nitakuwa nimeshakujibu vizuri tu kwa sasa nipo bize kidogo na maelezo ni marefu mpka niwe na 💻 pc.trust me kiranga hapo sijaona ugumu wowote wa hilo swali
 
Home remidies for common illnesses,I would rather stay poor,Mathematics for computer science,moon walking with einstein,what's better than money,you must be kidding...
 
Hamna cha ugumu wala nini mkuu
Haipiti kesho nitakuwa nimeshakujibu vizuri tu kwa sasa nipo bize kidogo na maelezo ni marefu mpka niwe na 💻 pc.trust me kiranga hapo sijaona ugumu wowote wa hilo swali

Usiniambie utanijibu, rudi kuniambia ushanijibu unionyeshe jibu.
 
athante chief. aibu hii niliiona last year. ni mipango na kuwa na commitment partners au group with strick rules. siku ukiwa habit you can walk by your own.

next year, na plan nisome zaidi ya vitabu mia.
my awareness status Leo ni tofauti na nilivyoanza mwaka.

"books are for reading" benjamin Carson

Nashukuru kwa kuniinspire mi nimesoma kitabu kimoja tu,nacho ni 7steps to effective time management kimeandikwa na Prem P.Bhalla Nimekisoma tena mwanzoni mwa mwezi huu na bado sijakimaliza
 
Back
Top Bottom