Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

mkuu nikupe email,unitumie hivyo kama soft copy unazo,
 
NASHUKURU MWAKA HUU NIMEVISOMA HIVI
1,RICH DAD,POOR DAD
2,THINK AND GROW RICH
3,RICH DAD GUIDE TO INVESTING
4,BIGGEST SECRET
5,HOW TO GET WHATEVER YOU WANT
5,RETIRE YOUNG,RETIRE RICH
7,WHY A STUDENTS WORK FOR THE C
8,THEY ARE EXTREMELY SMART OR IGNORANT
9,THEY CAME BEFORE COLUMBAUS
10,ANIMAL FARM
11,SUCCES THROUGH POSITIVE THINKING


PANAPO UZIMA NTAMALIZA MWAKA NA
1,KWA HERI UKOLON KWA HERI UHURU
2,THE TRUTH SHALL SET YOU FREE
3,BEFORE YOU QUIT FROM JOB
4,7 HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE
ila njia moja wapo rahisi ya kusoma vitabu nikuwa na softcopy then unaweka kwenye cm,hata kwenye daladala ukisoma hata page mbili inatosha,cm unzima data ili whatsapp notification zisikusumbue,ukisubir cku uwe free,sio leo
 
MKUU NIKUPE EMAIL UNITUMIE VITABU ULIVYONAVYO
 
Napenda sana kusoma vitabu ila lugha kwangu ni tatizo ikitokea nikifika sehemu sijaelewa basi mood inakata na kushindwa kuendelea msaada mkuu ukija inbox utanisaidia zaidi hata wengine nitashukuru mkinisaidia[emoji122] [emoji122]
 
Safi mkuu
 
Napenda sana kusoma vitabu ila lugha kwangu ni tatizo ikitokea nikifika sehemu sijaelewa basi mood inakata na kushindwa kuendelea msaada mkuu ukija inbox utanisaidia zaidi hata wengine nitashukuru mkinisaidia[emoji122] [emoji122]
mi nikiwa nasoma dictionary lazima iwe nayo imefunguka. imenisaidia sana kukuza msamiati. jaribu hiyo njia. pia jaribu kutafuta simple novels.
 
rise above by gwen shamblin
the blood vines by erica spindler
short stories by jeffrey archer
zawadi (unpublished) by lizzy jf (jf ndo jina la babake)
i read a minimum of 3 books at per
Hongera sana mkuu
 
Nimemaliza THINK AND GROW RICH cha Napoleon Hill, kwa sasa nasoma THE 7 HABITS O HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE cha Covey
 
Pia nasoma SITAOGOPA KUPELEKA INJILI KATIKA NCHI ZA KIKOMUNISTI.

Mimi si mtu mwenyemitazamo ya kidini ila hiki kitabu nimekivulia kofia. Ni simulizi ya kweli kumhusu Rudolf raia wa Uswisi na harakati zake huko Asia, Uerope, na pia hapa Afrika.....hii ni miaka kablda ya uhuru wa nchi nyingi Afrika na baada ya uhuru pia.

Ukisoma hiki kitabu hutotamani ukimalize. Najiwazia hapa kila kijana angekuwa na moyo wa Rudolf mambo mengi sana yangetima katika life ya vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…