Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Kwa mwaka huu nimesoma:
1. Battlefield of the mind: Winning the battle in your mind by Joyce Meyer. Hiki ni cha mrengo wa kikristo
2. Eat that frog by Brian Tracy
3. Raising worldlywise but innocent kids by David Wyrtzen
4. Nimerudia The big picture cha Ben Carson
5. It worked for me in life and leadership - biography ya Colin Powel. Sijakimaliza.

Pia ni mpenzi wa jarida (magazine) la Parents: caring for you and your family la Kenya la kila mwezi.
 
Talent is Overated kitabu kizuri sana
 
Habari zenu wadau napenda kuitambulisha kwenu Klabu ya Whatsapp kwa ajili ya
Usomaji wa vitabu mbalimbali na kwa pamoja
kupeana mbinu mbalimbali za usomaji wa vitabu
kubadilishana uzoefu wa usomaji
Kubadilishana mawazo kuhusu vitabu vizuri

Kama unapenda kujiunga na Klabu yetu wasiliana na Admins wa Group kwa Whatsapp
0625809610 au
0692487394
 
utatoa hutoi by irene mwamfupe

KIBOKO YA MAIMUNA by zubagy akilimia
 
Pius Hugo high I high high in jug lithium hui Hui this buoy you buy hui took out I guilty KTU Hugh thug high I hit hut juju I by youth you I it I of Kikuyu you Yuki yoko yuyyiohhjjjvz

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Thanks Nandera, huyu ni mimi typical!
Ntakitafuta hiki.. sounds interesting.
 
Thanks Nandera, huyu ni mimi typical!
Ntakitafuta hiki.. sounds interesting.

Hahahaaa..... unajikuta hujui uanzeje, uanze na nini uishie na nini mwisho unazira unaamua kujishindia JF. Kitafute mpendwa; hakika hutakuwa yule wa mwanzo.
 
Hahahaaa..... unajikuta hujui uanzeje, uanze na nini uishie na nini mwisho unazira unaamua kujishindia JF. Kitafute mpendwa; hakika hutakuwa yule wa mwanzo.

Acha tu, ukiona list niliyo nayo sasa?
Mpaka wakati mwingine natamani kuchukua vacation kwa ajili ya kusoma tu ili nimalizane na malengo ya mwaka.
Thanks dear nitakitafuta.
 
"Men are from mars women are from venus" by John Gray. hiki kitabu kinahusu mambo ya mahusiano kinakupa guidance za kuielewa jinsia ya pili uwapo kwenye mahusiano, ni kizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…