Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #2,001
Hapo umeandika The Secret The Power sijaelewa.Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu kitabu/vitabu vya SECRET.
Binafsi baada ya kuvidownload siku ile ulivyotuwekea humu nikajikuta naanza kusoma The Secret The Power alichoandika Bryne Rhonda.
Je hicho ndicho ilitakiwa nianze kusoma? Au kuna mpangilio wake special kwamba nianze vile vingine kwanza? Maana kwasasa nipo nasoma hicho cha The Power
Chochote utakachokisoma mimi naona ni sawa tuu. Mimi nilianza na The Magic na nilikipenda sana japo ni cha tatu.