Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
-
- #2,001
Hapo umeandika The Secret The Power sijaelewa.Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu kitabu/vitabu vya SECRET.
Binafsi baada ya kuvidownload siku ile ulivyotuwekea humu nikajikuta naanza kusoma The Secret The Power alichoandika Bryne Rhonda.
Je hicho ndicho ilitakiwa nianze kusoma? Au kuna mpangilio wake special kwamba nianze vile vingine kwanza? Maana kwasasa nipo nasoma hicho cha The Power
Yes nimeandika hivyo kwa maana hapa kwenye page ya kwanza nadhani ni cover pia wameanza kuandika the Secret the POWER. Au kwa kuwa wataalamu mnaviita the secret na mkavipa na series kabisa.Hapo umeandika The Secret The Power sijaelewa.
Chochote utakachokisoma mimi naona ni sawa tuu. Mimi nilianza na The Magic na nilikipenda sana japo ni cha tatu.
Okay nimeelewa.Yes nimeandika hivyo kwa maana hapa kwenye page ya kwanza nadhani ni cover pia wameanza kuandika the Secret the POWER. Au kwa kuwa wataalamu mnaviita the secret na mkavipa na series kabisa.
Yote kwa yote asante kwa ufafanuzi nikimaliza hiki nitahamia kwenye hicho cha The Magic naona Author ni yule yule
Okay nimeelewa.
Vyote ni The Secret.
Na huo ndio usomaji ufaao. Mimi nimesoma kitabu cha istihali za uhalifu nimekimaliza. Ila nimejikuta sijakielewa vizuri maana nilikisoma kwa pupa, Sasa nakirudia taratibu ili nielewa kila andiko la kitabu hikiNahisi namna yangu ya usomaji,tunatofautiana sana. Mimi huwa nasoma vitabu vya marejeo, yaani kwa ajili ya "references" na kujengea hoja, kwahiyo usomaji wa vitabu hivi huwa unatakiwa usome kama unafanya "Research/Bahth" hutakiwi uache kitu,ikitokea umeacha kitu basi ni sababu binadamu hatujakamilika.
Thank you Nownmai and you are welcome.
Vipo 13 bila shaka nitakuwekea hapa.
Nikikuwekea vyote utajichimbia hautarudi hapa mapema. Napenda nikuone one mara kwa mara unaniambia "Paula niwekee PDF".Tafadhali niwekee, hata vyote kama unaweza maana navitafuna na kuvimeza haraka!
My blessings.
"To Kill a Mockingbird "To kill a mockingbird
The fault in our stars
Nikikuwekea vyote utajichimbia hautarudi hapa mapema. Napenda nikuone one mara kwa mara unaniambia "Paula niwekee PDF".
Ujue nimeona hata aibu kuleta mrejesho maana naona pia hata sielewi vizuri. Ila niko determined kukisoma nikielewe hata ikiwezekana kurudia twice."To Kill a Mockingbird "
Hiki kitabu nimetoka siku sio nyingi kumlalamikia chaliifrancisco kwamba nimesoma hadi chapter 4 bado naona siyo kizuri japo kinasifiwa.
Vipi kinakuwa kizuri huko mbeleni nisome zaidi? Au ilitakiwa hadi chapter 4 kiwe kimeshakuwa kizuri YOUNGBLOOD?
Jinsi unavyosoma ndio unazidi kukipenda,kinaelezea mambo yanayoendelea sasa USA."To Kill a Mockingbird "
Hiki kitabu nimetoka siku sio nyingi kumlalamikia chaliifrancisco kwamba nimesoma hadi chapter 4 bado naona siyo kizuri japo kinasifiwa.
Vipi kinakuwa kizuri huko mbeleni nisome zaidi? Au ilitakiwa hadi chapter 4 kiwe kimeshakuwa kizuri YOUNGBLOOD?
Mimi nimekisoma nimemaliza,shida yake ni English iliyoyumika mle haiko sawa na kwenye vitabu vingineUjue nimeona hata aibu kuleta mrejesho maana naona pia hata sielewi vizuri. Ila niko determined kukisoma nikielewe hata ikiwezekana kurudia twice.
"To Kill a Mockingbird "
Hiki kitabu nimetoka siku sio nyingi kumlalamikia chaliifrancisco kwamba nimesoma hadi chapter 4 bado naona siyo kizuri japo kinasifiwa.
Vipi kinakuwa kizuri huko mbeleni nisome zaidi? Au ilitakiwa hadi chapter 4 kiwe kimeshakuwa kizuri YOUNGBLOOD?
Kwakweli unaweza kutokwa na machoziNi kitabu kizuri sana Paula.
Sitaki nikuharibie utamu kama ndio unakianza.
Mfuatalie tu Jean Louis Atticus na wenzake wanayotafuta kum -expose Boo Radley ambaye ni reclusive fulani hivi, wakidhani kwamba labda ni mtu mwovu na jinsi wanavyokuja kugundua kwamba ni mtu mwema tu ambaye alikuwa mhanga wa primitive harshness na ignorance ya baba yake.
“It is a sin to kill a mocking bird.
Why should anyone kill something which only seek to please?” (Sorry I don’ t remember the exact qoutation)
I may also add, why kill at all?
Unaweza tokwa na machozi!
Nimefurahi kusikia hivyo.Nitarudi sana tu dear.
I love your world!
Kwa mwanzo kama story imekaa kitoto toto. Majina mengi watu wengi sana.Ujue nimeona hata aibu kuleta mrejesho maana naona pia hata sielewi vizuri. Ila niko determined kukisoma nikielewe hata ikiwezekana kurudia twice.
Okay, mimi nimedownload hadi movie yake na Audiobook. Labda nikiiangalia nikirudi kukisoma nitakipenda.Jinsi unavyosoma ndio unazidi kukipenda,kinaelezea mambo yanayoendelea sasa USA.
Niwe mkweli mwenyewe nilikisoma mara ya kwanza nikaacha,nikarudia tena nikaacha,mara ya tatu ndio nimekimaliza.
Huko nilikuwa sijafika. Kama ni hivo inaonekana huko mbele ni kitamu.Ni kitabu kizuri sana Paula.