Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?


Asante mkuu ManchoG kwa hii tafakuri.
 
OMG, Congratulations Nowonmai, I can't wait to read your book.

I haven't written a book yet. I've always wanted to write a novel but I find writing hard. You see, it looks easy peasy lemon squeezy but is actually difficult difficult lemon difficult. I'd really like to write a novel someday.

Ponte la pilas!!

Edit: Thank you for the book recommendations.
 
Kitabu kitamu hiki

Mkuu,

Hii ni bonge la movie hasa uipate kwenye 1080p hainishagi hamu kabisa,

Kuna Mwamba Mr Owen Chase vs Captain Pollard

Humo unakutana Tommy Shelby wa peaky blinders kama Mathew Joy

Shukrani sana kwa hili Desa
 


Asante mkuu kwa maelezo yako..NIFANYE nini nianze kujisoma mwenyewe?
 
Safii sana, Umetisha Mkuu.

Nakubali sana Uwezo Wako Kaka,Huwa Unanifanya zaiidi niendelea kusoma vitabu.


Natamani Walau hata siku Nipate kusoma kitabu chako chochote ulichokiandika.

Unamadini sana kaka..


Mtu kama wewe Ukiondoka bali hata ya Kuandika kitabu chochote...Nitasikitika mno hata Kwa "Penname" Mithili Ya George Orwell Si mbaya.
 
Nilikuwa Naangalia Alivyokuwa anatoa maoni kuhusu Mzozo wa Palestine vs Israeli & LGBT & Watu Weusi wa Amerika ni balaa tupu.


Kuna Wafaasi Wake Wanamuita Ben An Intellectual Giant,Akatokea Jamaa akamuchambua kama ulivyomchmbua hapo,

Pia na njanja yake katika Midahalo dhidi ya Washindani Wake...Lakini aliompa sifa ya uwezo wake wakuongea haraka-haraka/fast.

Akasema Pia Ben hafiki hata robo ya Uwezo Wa Noam Chomsky-( Who rules The World, Understanding Power)
 
Ndizo hizo habari za "echo chamber" nilizoongelea, unachagua maoni fulani halafu hutaki kusikia mengine, ukipata showman anayejua rhetorical presentation, unamuona giant.

Shapiro hata graduate student wa Chonsky bado hajamfikia. Chomsky anaweza kuanza kuchambua misingi ya lugha/ falsafa mpaka unakubali huyu mtu kasoma.

Nashukuru kwa ufuatiliaji wako.
 
Mi napenda kusoma vitabu vya stories hasa kwa ajili ya kujifunza kiingereza. Vitabu nilivyosoma ni The diary of whimpy kid, 5 love languages na War room.
 
Vp Paula umemsoma Joe Navarro ktk kazi yake ya Dangerous personalities?
Aisee kinafaa sana kuwajua watu hatari wanaotuzunguka.
 
Pamoja Mkuu,,
 
Vp Paula umemsoma Joe Navarro ktk kazi yake ya Dangerous personalities?
Aisee kinafaa sana kuwajua watu hatari wanaotuzunguka.
Bado sijakisoma astig. Nimesikia tu watu wakikizungumzia. Ni psychology book enh?
 
Bado sijakisoma astig. Nimesikia tu watu wakikizungumzia. Ni psychology book enh?
Basi kitafute, kuna mtu alinishauri nikisome baada ya kumuambia shida yangu kuhusu jirani yangu mmoja ambaye tulikuwa tukigombana nae kila siku. Baada ya kukisoma si tu sasa najua jinsi ya kuishi nae bali nimegundua hata jinsi ya kumhandle mwenza wangu na hata jinsi ya kuishi bila shida na boss wangu.
Joe anaelezea watu wa aina tatu
1. Narcisistic
2. Emotionally unstable
3. Paranoid
4. Predator
Kizuri sana ukikielewa maana tunezungukwa na watu hao kila mahali ila hatujui kuwa ni watu hatari sana.
 
Thank you astig.
Nitakitafuta.
 
Nahtaj sana vtabu vya ujasusi jins wanvyoish na kufny kaz zao,mwenye navyo aviweke humu
 
Mwenye kitabu cha kwaheri kwaheri ukoloni anaweza share plz nakitafuta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…