Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Ahaaaa shukran sasa nimepata idea..I am sorry.
The secret na The Secret Daily Techniques ni vitabu viwili tofauti lakini dhumuni ni moja.
Baada ya The Secret ndio ikaja daily techniques ambayo ni kumsaidia msomaji namna ya kuaply hizo principles alizo zisoma kwenye The Secret.
mi nauza tu kipoWakuu nani anaweza kunipatia hiki kitabu?
Investing the AIDS VIRUS by Peter H Duesbeeg
Amen, Thank you.Ahaaaa shukran sasa nimepata idea..
Uwe mwenye baraka za Mungu kila uchao.
Here you go.Wakuu nani anaweza kunipatia hiki kitabu?
Investing the AIDS VIRUS by Peter H Duesbeeg
Moja kati ya vitabu vizuri kwenye hii thread, Asante sanaC&P
A poignant and inspirational love story set in Burma, The Art of Hearing Heartbeats spans the decades between the 1950s and the present. When a successful New York lawyer suddenly disappears without a trace, neither his wife nor his daughter Julia has any idea where he might be…until they find a love letter he wrote many years ago, to a Burmese woman they have never heard of. Intent on solving the mystery and coming to terms with her father’s past, Julia decides to travel to the village where the woman lived. There she uncovers a tale of unimaginable hardship, resilience, and passion that will reaffirm the reader’s belief in the power of love to move mountains.
Cc Nowonmai
mi nauza tu kipo
Hello HS CODE.Hello Jf Bookworms. Samahanini, nina ombi la vitabu tofauti kidogo mtaniwia radhi.
Kwa yeyote mwenye vitabu vya Certified Proffesional Bankers (CPB) level I&II, naomba anisaidie.
Natanguliza shukurani, Paula Paul
vya bongo hivyo sister....nilipotezea lakini ni poa ukisaidiaHello HS CODE.
Mwandishi wake ni nani?
Hello HS CODE.
Mwandishi wake ni nani?
Hapa mtihani, vingi vya waandishi wa Tz au Africa kwa ujumla wake ni ngumu kuvipata.vya bongo hivyo sister....nilipotezea lakini ni poa ukisaidia
Paula hataa ukivipata ni kesi Mimi nikiuza vitabu hapa natoa hadi namba,kuna wanafiki sana,usisheee cha mbongo hata..kama umekipata amazonHapa mtihani, vingi vya waandishi wa Tz au Africa kwa ujumla wake ni ngumu kuvipata.
Ngoja nikihifadhiHappy Sunday Bookworms,
So, I was told to read "Atomic Habits" by James Clear , but had not even thought of reading it until yesterday.
This is the one of the most powerful personal improvement book I've ever read. It has quality advice about how to "Build Good Habits & Break Bad Ones". I am really enjoying it.
I Would highly recommend in case you haven't read it yet.
What are you currently reading, safuher ?Ngoja nikihifadhi
Dah sasa hivi nimekikamata the secret daily teachings.What are you currently reading, safuher ?