Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Mwenye softcopy ya hiki kitabu " rais anampenda mke wangu" anitumie PM nipo radhi kumlipa please
 
I am sorry.

The secret na The Secret Daily Techniques ni vitabu viwili tofauti lakini dhumuni ni moja.
Baada ya The Secret ndio ikaja daily techniques ambayo ni kumsaidia msomaji namna ya kuaply hizo principles alizo zisoma kwenye The Secret.
Ahaaaa shukran sasa nimepata idea..

Uwe mwenye baraka za mungu kila uchao.
 
Nasoma hiki kitabu kwa sasa .
IMG_20200827_120827.jpg
 
Hello Jf Bookworms. Samahanini, nina ombi la vitabu tofauti kidogo mtaniwia radhi.

Kwa yeyote mwenye vitabu vya Certified Proffesional Bankers (CPB) level I&II, naomba anisaidie.

Natanguliza shukurani, Paula Paul
 
C&P
A poignant and inspirational love story set in Burma, The Art of Hearing Heartbeats spans the decades between the 1950s and the present. When a successful New York lawyer suddenly disappears without a trace, neither his wife nor his daughter Julia has any idea where he might be…until they find a love letter he wrote many years ago, to a Burmese woman they have never heard of. Intent on solving the mystery and coming to terms with her father’s past, Julia decides to travel to the village where the woman lived. There she uncovers a tale of unimaginable hardship, resilience, and passion that will reaffirm the reader’s belief in the power of love to move mountains.

Cc Nowonmai
Moja kati ya vitabu vizuri kwenye hii thread, Asante sana
 
Hello Jf Bookworms. Samahanini, nina ombi la vitabu tofauti kidogo mtaniwia radhi.

Kwa yeyote mwenye vitabu vya Certified Proffesional Bankers (CPB) level I&II, naomba anisaidie.

Natanguliza shukurani, Paula Paul
Hello HS CODE.
Mwandishi wake ni nani?
 
Happy Sunday Bookworms,

So, I was told to read "Atomic Habits" by James Clear , but had not even thought of reading it until yesterday.

This is the one of the most powerful personal improvement books I've ever read. It has quality advice about how to "Build Good Habits & Break Bad Ones". I am really enjoying it.

I Would highly recommend in case you haven't read it yet.
 

Attachments

Happy Sunday Bookworms,

So, I was told to read "Atomic Habits" by James Clear , but had not even thought of reading it until yesterday.

This is the one of the most powerful personal improvement book I've ever read. It has quality advice about how to "Build Good Habits & Break Bad Ones". I am really enjoying it.

I Would highly recommend in case you haven't read it yet.
Ngoja nikihifadhi
 
What are you currently reading, safuher ?
Dah sasa hivi nimekikamata the secret daily teachings.

Nilikuwa nasoma the power,ila nimekisitisha kwa sababu nimeona nimaize the secret yote yani ile ya kawaida na hii ya daily teachings ili niwe nimemalizana na the secret,kwa sababu ile the secret ya mwanzo nilishaisoma.

So kwa kujibu ni kuwa kwa sasa naisoma the secret daily teachings
 
Back
Top Bottom