There!!!
I think you are amazing.
The 5 am Club by Robin SharmaWhat book are you currently reading, Arien?
Thanks Paula Paul. but nimejaribu kufungua kurasa zinakuja ziko blank sijui kwaniniHere you go,
Thank you.I think you are too. More than amazing I ‘d say.
Hey, ever come across Masha Hamilton’s The Camel Bookmobile?
If not hasten to find and give it a glance.
I am sure it will be worth the time that you will spend going through it.
Ni kizuri sana.The 5 am Club by Robin Sharma
Hapana hakina shida. Jaribu tena.Thanks Paula Paul. but nimejaribu kufungua kurasa zinakuja ziko blank sijui kwanini
Okay kwahiyo huku ndi unajifunza kiswahili kigumu Zurri?1. Dafina ya Umalenga
2. Mtango wa Kiswahili
3. Upisho wa Umalenga
4. Kale ya Washairi wa Pemba (Kamange na Sarahani)
5. Utenzi wa al Inkishafi
Vitabu hazina kubwa ajabu, naendelea kusoma.
Naendelea....
Okay kwahiyo huku ndi unajifunza kiswahili kigumu Zurri?
Mathalani ukisoma katika "Utenzi wa al Inkishafi" utakutana na ubeti huu wa sita (6). Nanukuu :Okay kwahiyo huku ndi unajifunza kiswahili kigumu Zurri?
Ukirudi katika kitabu "Mtango wa Kiswahili" unakutana na ubeti huu :Okay kwahiyo huku ndi unajifunza kiswahili kigumu Zurri?
Lakini kiswahili cha "kale" wengi hawakielewi enh? Wewe unakitumia kuongea na nani?Nimecheka kidogo unaweza sema ni Kiswahili kigumu ila ni kiswahili cha kale ambacho ni kitamu ila walio wengi hawashughuliki nacho.
Naweza pia sema hapana huku najifunza ufasaha wa Kiswahili na utamu wake.
Sikutani na maswali hayo, sababu najua kuongea kulingana na muktadha wa hali.Lakini kiswahili cha "kale" wengi hawakielewi enh? Wewe unakitumia kuongea na nani?
Haukutani na maswali ya "sijaelewa " mengi?
Unatumia kamusi gani? Naweza kuipata?Mathalani ukisoma katika "Utenzi wa al Inkishafi" utakutana na ubeti huu wa sita (6). Nanukuu :
himdi na sala kuziratili,
- Kimakwe kwisa kuzikamili,
Niyadhihirishe yangu makali,
ambayo moyoni nikusudiye.
Hiki ni Kiswahili cha kale.
Unanidanganya hiki sio kiswahili.Ukirudi katika kitabu "Mtango wa Kiswahili" unakutana na ubeti huu :
Kisi kisi kisikule, Kisi hakikisi kisi
Kisi sikia si kile, Kikanitusha na isi
Kisi lesso kifungile, chendapo kisi kihisi
Kisi hakikisi kisi, kisi leso kisikule
Ukitaka maana ya hiki kilicho andikwa nitakupa maana zake. Msomi aitwaye Abdulatif Abdallah ameelezea maana za beti hizi. Ila hakuna Kamusi rasmi inayoelezea maana ya msamiati huu.Unatumia kamusi gani? Naweza kuipata?
Hiki ni Kswahili hasa. Unaweza kuniambia ni nini hiki ?Unanidanganya hiki sio kiswahili.
Nimetosheka lakini natamani kujua maana zake.Sikutani na maswali hayo, sababu najua kuongea kulingana na muktadha wa hali.
Soma beti hizi katika Shairi la 19 ubeti wa 1 na wa 5, katika kitabu "Upisho wa Umalenga" cha Mwalimu Hassan Mbega,anasema :
1. Achani maneno hayo, tena achani kabisa Achani muyanenayo, kudhani pendo ni pesa Si pendo hilo ni payo, si pendo ni payo hasa Viwili katika moyo, kuviweka vyanitasa
5. Viwili katika moyo, kuviweka vyanitasa
Pendo lenye jakamoyo, na tamaa ya mapesa
Pendo la namna hiyo, ni wapi liliko hasa?
Viwili katika moyo, kuviweka vyanitasa
Kwa leo tosheka na vitamu hivi.
Unaweza kuona bila shaka. Nitakuonyesha.Nimetosheka lakini natamani kujua maana zake.
Ulisema unaandika mashairi. Naweza kuona shairi lako moja?