Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Wadau wa vitabu nimekua na hili wazo...
Kufungua channel ya youtube mahususi kwa ajili ya ku share uchambuzi wa vitabu yani mfano nimesoma kitabu XYZ nitakua naangalia jinsi gani ujumbe nilio upata kwenye kitabu ulivyo nisaidia mimi na jinsi gani unaweza kuisaidia jamii.
Kwa kifupi itakua ni channel inayo jaribu ku-link ujumbe wa kitabu na actual application yake kwenye real life!
Inahitaji usomaji makini wa kitabu na utulivu wa hali ya juu ili uweze kukichambua!
Changamoto nnayoiona mpaka sasa ni sheria zinazo bana ufunguzi wa youtube channel kwenye nchi yetu!
Wadau naombeni mawazo yenu!