Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Kama huna pesa maneno ndiyo silaha, soma vitabu mkuu, yote yameandikwa kwenye vitabu.

hahaha umenikumbusha Tyrion Lannister wa kwenye GOT akimjibu Jon Snow,

alimwambia;

“My brother has his sword, King Robert has his Warhammer and I have my mind...and a mind needs books as a sword needs a whetstone if it is to keep its edge. Thats why i read so much Jon Snow.”
 

It is not for nothing that that the Bible, arguably the most popular story book in the world, says “In the beginning was the Word”(John 1:1)
 
vipo vingi, ila hiki nimemaliza kukisoma juzi juzi

“Night over water”
I am currently reading "Night Over Water" by Kenny Follet. Nipo sasa Chapter 12.

The story is amazing and exciting , sitamani kuweka hata chini kwa sababu kuna vingi natamani kujua, mfano, kujua kama Eddie ata-land in Bangor kama Luther anavyotaka ili ampate mke wake?

Diana je ataondoka na Mark au atarudi na Mume wake Manchester? Na je vipi kuhusu Nancy atafanikiwa kumzuia Peter kuuza factory yao? Halafu na story ya Harry ninaipenda, na hatima ya Elizabeth ninatamani kujua ata-survive vipi.

Thank you , Mr Miller.
 
Shukran kwa vitabu , HAKUNA MWENYE VYA KISWAHILI ??? AU HAKUNA VITABU VENYE vuzuri
Pitia huu uzi, kuna vitabu vingi vya kiswahili.
 

hahaha the more you read the more exciting it gets, nisikuharibie uhondo Paula endelea....
japo nakutamania maana bado story ni ndefu na nzuri huko mbele, [emoji3][emoji3]

you will be amazed, characters wote hao watakuja kujuana somehow [emoji1493][emoji1493] endelea bwana...

karibu Paula.
 
I've just finished the book. One of the beautifully written books I've ever read and I absolutely loved it. I wish I could read it again for the first time.

The writing style is perfect and romance scenes nilirudia mara mbili mbili (dunno why)Lol.
Harry is one of my favorite characters from the book. Nilikuwa nacheka sana mambo yake ya "redistribution of wealth ".

Huu mwezi nitakuwa na Ken Follett na sasa natafuta The Pillars of the Earth.

Hivi vitabu unauza Mr Miller? Nimeona ni vipya. Natamani kujua pia kitabu ulichoficha kwa emoji.
 
Mkuu popote ulipo nimerudi tena najua hatujawasiliana siku nyingi sana tokea tumekimbiaana katika huu uzi.

Baada ya kusoma vitabu kadhaa viwili vitatu jaapokuwa hapa katikati huu mwaka nilibanwa sana na harakati za hapa na pale sikusoma sana vitabu.

Ila kwa vichache nivyosoma usemayo ni kweli kwamba dhana ni ile ile ila uwasilishaji ndio tofauti.
 
Ni mwandishi mzuri.

Nimesoma Triple na The Pillars of the Earth.
Follett is an awesome storyteller and his works are well researched.

I've finished reading "The Pillars of the Earth ". Gosh, it's just so long, I thought it'd take me forever to get through all 900+ pages.

I liked the plot and setting. The story just got better and better as it went on. I thoroughly enjoyed it

I will check out the Sequel as well.

Thank you Nowonmai. I will have to keep "Triple" in mind after the Sequel.

How are you doing?
 
Glad to have you back, Safuher.
Nina imani hizo "harakati" zimeenda sawa na mategemeo yako.
Karibu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…