Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Glad to have you back, Safuher.
Nina imani hizo "harakati" zimeenda sawa na mategemeo yako.
Karibu tena.
Naam harakati zinaendelea kwenda vizuri.

Sasa hivi nimeamua kujikaza nisome hiki kitabu cha Think big nimeanza kama kurasa thelathini na kitu hivi nataka nikisome kwa hizi wiki mbili.
 
Wajapan wana maandiko mazuri basi tu hawapati Airtimes. Nipo nacho kimoja nakipitia pitia cha Morihei Ueshiba. Very interesting book I take it as counterpart of Sun tzu
Wamwandika kwa kiingereza mkuu au
 
[emoji117]A new bookwormer
[emoji117]Begginer
[emoji188]step_rocker.
Good for you.
Start with books that are short and easy to read. I would highly recommend you to start with "Man's Search for Meaning " by Victor Frankl and "How to Win Friends and Influence People", by Dale Carnegie.

I think are great books, well written and pretty short for beginners. Try them out, you would like them.

Welcome and enjoy your reading adventures #Bookworm'
 
Hivi hizo nguvu za kusoma fiction book huwa mnazitoa wapi? Mimi nilishashindwa kabisa kusoma fiction
 
Naam harakati zinaendelea kwenda vizuri.

Sasa hivi nimeamua kujikaza nisome hiki kitabu cha Think big nimeanza kama kurasa thelathini na kitu hivi nataka nikisome kwa hizi wiki mbili.
Wow, hongera sana.
Utakimaliza maana ni kifupi sana, kwangu ningekimaliza in one sitting ila wewe najui kitachukua forever maana upo na notebook pembeni.
 
Recommend me good/ powerful books on:
1 Wealth
2 magick.

Hizo ndo field nimeamua kukomaa nazo.
Kitabu chochote kisichozungumzia hizo fields sisomi
 


ISBN9789956792184
Pages254
Dimensions203 x 127mm
Published2015
PublisherLangaa RPCIG, Cameroon
FormatPaperback

NYUMA YA PAZIA​

by Nkwazi Nkuzi Mhango

Nyuma Ya Pazia inazungumzia ubadhirifu unaomhusisha rais na mawaziri wake katika nchi ya Mafuriko au Abracadabra. Rais akishirikiana na waziri mkuu walileta kampuni ya kigeni ya kuua wadudu ya Richmen kuwekeza kwenye kuzalisha umeme nchini Mafurikony; Richmen to invest in power generation in Mafuriko. Kupitia rushwa na ushawishi wa wakubwa hawa Richmen ilipata tenda na kutumika kama mrija wa kuibia mabilioni ya fedha za umma toka Benki Kuu. Wananchi walipogundua jinai hii waliiangusha serikali na kuwaaadhibu watawala wao kwa kuwafunga maisha na wengine kuhukumiwa vifo. Kitabu kinaupiga kijembe tawala fisadi barani Afrika
 
Wow, hongera sana.
Utakimaliza maana ni kifupi sana, kwangu ningekimaliza in one sitting ila wewe najui kitachukua forever maana upo na notebook pembeni

Original language inakuwa Japanese ila vinakuwa translated kwenye lugha mbalimbali eg, English, Spanish, French wewe msomaji unachagua lugha ambayo ni rahisi kwako.
Kama vipo vyenye lugha ya kiingereza share nasi tafadhali
 

Mezza mezza, my lady.
 
Richmen /Richmond
 
Karibu sana, WANGECI WA NGUGI. Wewe sio mgeni tena.
Btw, what kind of books/genres do you like to read?
Binafsi napenda sana vitabu vya mtindo wa Riwaya,Tamthilia,Hadithi ,na pia vitabu vinavyoelezea nadharia mbalimbali kuhusu ulimwengu ,in summary ,,any useful book of which you think may perhaps be crucial to me ,,
 
Thanks,
Nmesoma tayar 'power of subconsious mind' by joseph murphy...
-Ntakomaa na dale carnegie
 
Satire kwa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…