safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Naam harakati zinaendelea kwenda vizuri.Glad to have you back, Safuher.
Nina imani hizo "harakati" zimeenda sawa na mategemeo yako.
Karibu tena.
Sasa hivi nimeamua kujikaza nisome hiki kitabu cha Think big nimeanza kama kurasa thelathini na kitu hivi nataka nikisome kwa hizi wiki mbili.