Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

hapana sijasoma bado niliona cover page yake ina ile logo ya secret
Huyu Rhonda alikuwa inspired na The Master Key System. Ndipo alipata Idea zake za The secret hata ile movie.
Huyu Haanel alifariki kabla Rhonda hajazaliwa. Inabidi ukisome hicho kitabu.
 
ngoja kiingie kwenye playlist ila familia ya Rhoda ni hatari😅😅
 
Nitakukumbusha ukisome. Kina exercises za kila wiki inabidi u practise. Ukimaliza moja unahamia nyingine .
Umewahi kufanya meditation?
 
Natafuta hiki kitabu

IMG_20210929_122146.jpg
 
Nitakukumbusha ukisome. Kina exercises za kila wiki inabidi u practise. Ukimaliza moja unahamia nyingine .
Umewahi kufanya meditation?
Nishawahi kupata kusoma jinsi ya kuanza yale mazoezi ya kutuliza akili,nikaanza ila nilipata changamoto nikituliza akili naishia kulala ni kama nimeacha hivi maana sijafanya ni kitambo kidogo
Nafikiri nibadili njia ya ufanyaji labda.
 
Oohh nisamehehe Step_rocker, I can't stop laughing. Ninaona vile ilikuwa njia yako ya kufanya ulale mapema. Lol
 
acha kabisa kinachonishangaza nilikua nafanya mida flani jioni lazima nilale ila nikitulia tu nikiwa sina lengo la kutuliza akili yangu silali.
Sijui nifanye vipi...
maana hata nilisoma vitabu viwili vya joseph murphy (power of subconsious mind;na putting power of subconsious mind) kasisitiza sana hii kitu ila ndo nakwepàkwepa.
 
Keep up practice. Lengo la meditation ni kuifanya akili yako i focus. Kwa hiyo huko kusinzia ni ishara kwamba unahitaji ku practise.

Mimi huwa sisinzii lakini nashindwa kufocus. Yaani nikitulia ndio nawaza matatizo yote yanayonisibu, lol.
 
Matatizo tena...
Ila ninachofurahi jinsi mawazo yanavyokuja na kupotea hua nafurahi sana nikifocus tu nalala.
Au nibadili posture maybe..
 
Keep up practice. Lengo la meditation ni kuifanya akili yako i focus. Kwa hiyo huko kusinzia ni ishara kwamba unahitaji ku practise.

Mimi huwa sisinzii lakini nashindwa kufocus. Yaani nikitulia ndio nawaza matatizo yote yanayonisibu, lol.
....what you resist persist...

Haongeraaa....unapofanya meditation usikinzane na mawazo yako au na hisia zako ruhusu chochote kinachokuja then yaweke ktk empty zone.
 
Back
Top Bottom