Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
-
- #2,681
Hapana sio vya Rhonda japo waandishi wa hizo wanatoka The Secret team na huyu Skye Byrne ni mtoto wa Rhonda.anha!!! nikadhani ni vya rhoda ila hivyo hapo ninavyo na nimesoma the power ukivipata ...
Hapana sio vya Rhonda japo waandishi wa hizo wanatoka The Secret team na huyu Skye Byrne ni mtoto wa Rhonda.
Hapana sifahamu.hata yule charles haanel kama sijakosea wa master keys system naye ni team moja?
Hapana sio vya Rhonda japo waandishi wa hizo wanatoka The Secret team na huyu Skye Byrne ni mtoto wa Rhonda.
hapana sijasoma bado niliona cover page yake ina ile logo ya secretHapana sifahamu.
Umesoma The Master Key System ?
Huyu Rhonda alikuwa inspired na The Master Key System. Ndipo alipata Idea zake za The secret hata ile movie.hapana sijasoma bado niliona cover page yake ina ile logo ya secret
ngoja kiingie kwenye playlist ila familia ya Rhoda ni hatari😅😅Huyu Rhonda alikuwa inspired na The Master Key System. Ndipo alipata Idea zake za The secret hata ile movie.
Huyu Haanel alifariki kabla Rhonda hajazaliwa. Inabidi ukisome hicho kitabu.
Nitakukumbusha ukisome. Kina exercises za kila wiki inabidi u practise. Ukimaliza moja unahamia nyingine .ngoja kiingie kwenye playlist ila familia ya Rhoda ni hatari😅😅
Sikuipata mkuu hadi Leo, nilikuwa bize kidogo sikui kadhaa zilizopita, nataka nikisake tena hiki kitabu.Mkuu hii PDF uliipata?
Nishawahi kupata kusoma jinsi ya kuanza yale mazoezi ya kutuliza akili,nikaanza ila nilipata changamoto nikituliza akili naishia kulala ni kama nimeacha hivi maana sijafanya ni kitambo kidogoNitakukumbusha ukisome. Kina exercises za kila wiki inabidi u practise. Ukimaliza moja unahamia nyingine .
Umewahi kufanya meditation?
Oohh nisamehehe Step_rocker, I can't stop laughing. Ninaona vile ilikuwa njia yako ya kufanya ulale mapema. LolNishawahi kupata kusoma jinsi ya kuanza yale mazoezi ya kutuliza akili,nikaanza ila nilipata changamoto nikituliza akili naishia kulala ni kama nimeacha hivi maana sijafanya ni kitambo kidogo
Nafikiri nibadili njia ya ufanyaji labda.
acha kabisa kinachonishangaza nilikua nafanya mida flani jioni lazima nilale ila nikitulia tu nikiwa sina lengo la kutuliza akili yangu silali.Oohh nisamehehe Step_rocker, I can't stop laughing. Ninaona vile ilikuwa njia yako ya kufanya ulale mapema. Lol
Nina collection ya vitabu vyote vya watchman nee, the guy was smart. I liked him1.The Holy Bible
2. The Spiritual Man by Watchman Nee
JESUS IS LORD!
Keep up practice. Lengo la meditation ni kuifanya akili yako i focus. Kwa hiyo huko kusinzia ni ishara kwamba unahitaji ku practise.acha kabisa kinachonishangaza nilikua nafanya mida flani jioni lazima nilale ila nikitulia tu nikiwa sina lengo la kutuliza akili yangu silali.
Sijui nifanye vipi...
maana hata nilisoma vitabu viwili vya joseph murphy (power of subconsious mind;na putting power of subconsious mind) kasisitiza sana hii kitu ila ndo nakwepàkwepa.
Matatizo tena...Keep up practice. Lengo la meditation ni kuifanya akili yako i focus. Kwa hiyo huko kusinzia ni ishara kwamba unahitaji ku practise.
Mimi huwa sisinzii lakini nashindwa kufocus. Yaani nikitulia ndio nawaza matatizo yote yanayonisibu, lol.
Kuna hii videoMatatizo tena...
Ila ninachofurahi jinsi mawazo yanavyokuja na kupotea hua nafurahi sana nikifocus tu nalala.
Au nibadili posture maybe..
hii mbinu naona ni bora kwani naina inaeka akili iwe active na i-focus natumai na wewe ndo waitumia au bado mawazo ya duniani yanakuzidi nguvu.Kuna hii videoJaribu kuiangalia, itakusaidia.
Ndio naitumia, Siku hizi nimeanza kufanya vizuri. Siwazi tena.hii mbinu naona ni bora kwani naina inaeka akili iwe active na i-focus natumai na wewe ndo waitumia au bado mawazo ya duniani yanakuzidi nguvu.
ntaleta mrejesho ntaitumia..Ndio naitumia, Siku hizi nimeanza kufanya vizuri. Siwazi tena.
....what you resist persist...Keep up practice. Lengo la meditation ni kuifanya akili yako i focus. Kwa hiyo huko kusinzia ni ishara kwamba unahitaji ku practise.
Mimi huwa sisinzii lakini nashindwa kufocus. Yaani nikitulia ndio nawaza matatizo yote yanayonisibu, lol.