Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Wakuu mwenye kitabu cha THINK AND GROW RICH au THINK BIG
naomba atume soft copy yake kama anayo na shida nacho
 
As you are new to stoicism, I think "The Enchridion" is the good place to start.
It's really short and it helps a lot. You can study one chapter a day. Here's the book ,
Asante sana. Acha nijifunze Falsafa zilizomo humu, nitashare maoni yangu juu ya yaliyomo.
 
Shida ni kwenye tone tu hapo ndo nashindwa hizi audio books. Kisauti cha kirobotic kabisa hii ukitumia apps kama hio foxit kama una ela ya subscription kuna audibles playstore /appstore
 
Hapana sifahamu, thegreen. Ila kuna watu wameandika humu kwamba wanauza nikiwakumbuka nitawaita.
Pole sana , unatumia Kindle au simu?

thegreen aende maeneo ya Posta, pale jengo la Shirika la Bima ule mtaa wote kuelekea Azania Front pametapakaa vitabu. Na ule upande karibia na Bank of Baroda. Ashindwe yeye tu
 
Thank you, natafuta vitabu vya Marcus Aurelius, hasa Meditations na A life... Hivi PDF zake hakuna?
Hiki hapa mkuu Enjoy...
Marcus aurelius my mentor 🌹
 

Attachments

Kwenye vitabu napenda fiction. Juzi kati hapo nimepata kitabu cha " a knight of the seven kingdoms" cha george RR martin mtunzi wa game of thrones. Hii kitu ni ya moto sana.. yaani unajikuta upo westeros kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…