I'm a feminist, so it's natural kumsoma. Anaandika vizuri sana.Nimefurahi kwamba unamsoma Chimamanda pia. Sijaweza kusikiliza Audiobooks zake kabisa but she's a good writer, her writing is absolutely superb. I like how she cares about her fellow women.
Nimesoma hiyo 50th Law, ila sioni kama kinafikia level ya 48 laws of power. The standards were set too high!
Nimesoma The Silmarillion ,The Hobbit, and LoTR. As for The Silmarillion..it's not an easy read, ni kama Old Testament. Mimi nilianza chapter ya mwisho (Of The Rings of Power and The Third Age) kuja mbele. Hapo bado majina yanachanganya, na ni mengi .Kuna aliyesoma kazi za Tolkien? Nimekuwa na Silmarillion kwa siku nyingi lakini kilinitia uvivu kukisoma. Nimeanza kukisoma wiki hii. Huyu mzee alipata tabu sana kuandaa hizi kazi.
Bado upo na Deon Meyer.Trackers by Deon Meyer. Wapenzi wa riwaya za kipelelezi za kiafrika, kigongo kingine hiki. View attachment 2015694
Kweli siyo kirahisi, pengine ndiyo maana imenichukua muda mrefu kukianza. Mtu mmoja au sehemu moja inaweza kuwa na majina kibao kulingana na contexts. Na kila kitu kina jina, kuanzia pete, panga tarumbeta nk. Na si majina rahisi kwa sisi wabantu. Sisi na Dagor Bragollach wapi na wapi!!😀😀. Hii ni kaz complex sana, hadi lugha mpya iliundwa!!! Ila niko full nondo, nina map na narejea mtandaoni. Bila kucheki map kwa makini hiki kitabu ni ngumu kukielewa. Lakini mpaka hapa nimekienjoy sana na napendekeza kwa wapenzi wa high fantasy wakisome.Nimesoma The Silmarillion ,The Hobbit, and LoTR. As for The Silmarillion..it's not an easy read, ni kama Old Testament. Mimi nilianza chapter ya mwisho (Of The Rings of Power and The Third Age) kuja mbele. Hapo bado majina yanachanganya, na ni mengi .
Make sure you read it slowly, Red Giant.
Nina katabia kamoja ka kihafidhina, nikimsoma muandishi, akanivutia, huendelea kusoma vitabu vyake vyote. Sasa hiki cha Meyer, nilichosoma awali ilikuwa ni series ya kwanza ya Detective [in fact he is bodyguard] Lemer, hii ya sasa ni series ya pili. Na kuna kingine cha Thirteen Hours nacho kina rating za juu kiko kwenye list na chako cha Fever. So hopefully i will stop there.Bado upo na Deon Meyer.
Enh, Finrod, Finarfin, Feanor, Fingon, Finwe..lol.Kweli siyo kirahisi, pengine ndiyo maana imenichukua muda mrefu kukianza. Mtu mmoja au sehemu moja inaweza kuwa na majina kibao kulingana na contexts. Na kila kitu kina jina, kuanzia pete, panga tarumbeta nk. Na si majina rahisi kwa sisi wabantu. Sisi na Dagor Bragollach wapi na wapi!!😀😀. Hii ni kaz complex sana, hadi lugha mpya iliundwa!!! Ila niko full nondo, nina map na narejea mtandaoni. Bila kucheki map kwa makini hiki kitabu ni ngumu kukielewa. Lakini mpaka hapa nimekienjoy sana na napendekeza kwa wapenzi wa high fantasy wakisome.
Nilisoma The Hobbit kabla movies zake hazijatoka, kazi nzuri na movies zake nzuri pia. LoTR sidhani kama nitavisoma sababu nilianza na movies zake.
Heshima kubwa kwa Tolkien.
Ni tabia nzuri.Nina katabia kamoja ka kihafidhina, nikimsoma muandishi, akanivutia, huendelea kusoma vitabu vyake vyote. Sasa hiki cha Meyer, nilichosoma awali ilikuwa ni series ya kwanza ya Detective [in fact he is bodyguard] Lemer, hii ya sasa ni series ya pili. Na kuna kingine cha Thirteen Hours nacho kina rating za juu kiko kwenye list na chako cha Fever. So hopefully i will stop there.
Sure. Ushawahi kusoma riwaya za Kwei Quartey?Ni tabia nzuri.
Unajua ukiwa familiar na mwandishi kusoma kazi zake nyingine inakuwa ni rahisi na haichukui hata muda kumaliza maana unaelewa style yake.
Hapana sijawai, na ni mgeni pia kwangu.Sure. Ushawahi kusoma riwaya za Kwei Quartey?
Seems like i've been accustomed with this notification!It can't be a day without it. View attachment 2016543
For some reason, this made me happy.Seems like i've been accustomed with this notification! [emoji3] It can't be a day without it. View attachment 2016543
Point yako ya kumsoma muandishi na kumjua, imenipeleka kumkumbuka, actually ni yeye ndiye aliyenifanya nimjue Deon Meyer. Ni muandishi wa riwaya za kipelelezi (zote alizotoa ziko set Ghana). Ukizosoma of course kila moja ina tatizo fulani la kijamii inaloli-adress, ila zinafanana eneo moja, zote zinafunza kuhusu masuala ya utabibu na saikolojia ya uhalifu. Pengine kwa kuwa ni daktari kitaaluma, imefanya eneo hilo ziwe nzuri sana.Hapana sijawai, na ni mgeni pia kwangu.
Niambie kuhusu yeye.