Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
- Thread starter
-
- #3,041
Asante, lakini haimaanishi kwamba sisomi, My Next Thirty Years.Pole sana. You miss a lot.
Ushawahi soma kipi cha maudhui haya ukakipenda?
Interesting! Nimesoma vitatu tu kati ya hivyo. Vingine hata sivifahamu. Revenge of Geography na Why Nations Fail vimekuwa kwenye To Read List, miaka mingi.Asante, lakini haimaanishi kwamba sisomi, My Next Thirty Years.
Ambavyo nimesoma na kuvipenda ni vingi sana ila nakuandikia ninavyokumbuka.
Robert Kaplan's "The Revange of Geography"
Mark Kurlansky's "Salt :A Word History" .
Owen Gingerich's "The Book Nobody Read".
Paul Kennedy's "The Rise and Fall of the Great Powers" .
Paul Kennedy's "The Parliament of Man: The Past, Present, and Future of The United Nations".
John Toland's The Rising Sun: The Decline and Fall of the Japanese Empire, 1936-1945".
"Why Nations Fail" by Daron Acemoglu and James A. Robbison.
Ian Morris' "Why the West Rules For Now"
The Map That Changed the World by Simon Winchester.
Yuval Noah Harari's Sapiens: A Brief History of Humankind.
The Ancestor's Tale by Richard Dawkins.
Tim Marshall's Prisoner of Geography .
Vitatu ulivyosoma ni vipi?Interesting! Nimesoma vitatu tu kati ya hivyo. Vingine hata sivifahamu. Revenge of Geography na Why Nations Fail vimekuwa kwenye To Read List, miaka mingi.
Asante kwa orodha hiyo.
Prisoners of Geography (kitabu changu bora zaidi cha siasa za kimataifa), Sapiens na Why the west rule for now.Vitatu ulivyosoma ni vipi?
Sapiens nilikua na audio book yake niliisikiliza bila kupenda[emoji23][emoji23]Prisoners of Geography (kitabu changu bora zaidi cha siasa za kimataifa), Sapiens na Why the west rule for now.
[emoji28] Kwanini?Sapiens nilikua na audio book yake niliisikiliza bila kupenda[emoji23][emoji23]
Niliisave kama audio music,so audio songs zikiplay in shuffle mode bas nazo zinajichanganya na sina muda wa kubadilisha mm[emoji23] nkazisikiliza zote[emoji28] Kwanini?
[emoji28]. Lakini ulielewa madini yaliyomo?Niliisave kama audio music,so audio songs zikiplay in shuffle mode bas nazo zinajichanganya na sina muda wa kubadilisha mm[emoji23] nkazisikiliza zote
Sawa.Prisoners of Geography (kitabu changu bora zaidi cha siasa za kimataifa), Sapiens na Why the west rule for now.
Nimefurahi kuwa umekipenda.Sawa.
Nilianza "Wife of The Gods" last night kabla sijaingia kulala. It's unputdownable. Mazingira yaliyoandikwa kwenye hiki kitabu yamenifanya nikumbuke mbali (kijijini).
Everytime I tried to put it down to go to sleep, I just had to get back up and keep reading. Nimeishia chapter 12 Darko alipoenda kumtembelea Auntie Osewa. Nina furaha kwamba nimeamua kukisoma and I can't stop thinking about it.
Akimaliza hicho, asome "The war of art" by Steven Pressfield. Atanishukuru baadae!Okay. Ni kitabu kizuri you should give it a shot.
Nakiomba na mimi hiki kitabu hasa nakala laini. Nakala ngumu siwezi isomaUkikisoma ni furaha yangu, Mjuni Lwambo.
Shilingi ngapiHapana mkuu, nilinunua hard copy huko mlimani city.
Treva noah nimemsoma thanksAbsolutely. Ila kwa upande wangu, naona kama the 50th law ni content kubwa juu ya kitu kimoja tu (fearlessness). Wakati 48 laws of power inagusa sehemu nyingi sana, japo sio kwa uzito mkubwa.
Niko nacheka na visa vya Trevor Noah hapa (Born a crime), baada ya kumalizana na "Are you afraid of the dark" ya mzee Sydney Sheldon. All is well Madame!
I'm sure ume-enjoy mkuu.Treva noah nimemsoma thanks
Mcheki huyu Sista.Hi na mimi ningependa kuanza kusoma vitabu, kama mtu anavitabu hard copy na yupo arusha plz naomba tuwasiliane
Shilingi ngapi
Shilingi ngapi