Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

I'm sure ume-enjoy mkuu.

Go Hitler! Go Hitler!
Yah nilikisoma 2019. Unajua mimi hua ninasoma kwa raha nakala laini. Napendasoma epub hata nikisoma pdf lazima niconvert kwenda epuv. Nakala ngumu napata kazi kuisoma maana sioni. Sasa hivi nasoma rising star by david garrow kina kurasa 1500
 
Nimefurahi kuwa umekipenda.

Hiki riwaya binafsi ilinifanya safari yangu moja iwe fupi sana. Maana akili ilikuwa kitabuni safari yote [nadhani hata ningekaa na mrembo pembeni, nisingekuwa na muda naye] [emoji3]

Maisha ya kijijini ameyaelezea vyema sana, so relatable. Maingiliano ya dini na ushirikina kwenye jamii ya Ghana, yanaakisi sana uhalisia wa afrika. Kila angle aliyoigusia, kwa kweli inakupa kumbusho fulani kichwani, mfano maujinga ya polisi.

Hii issue ya trokosi, kwa kweli amenifunza, na nimeipenda njia aliyoitumia Efia kumaliza tatizo. Nisikumalizie uhondo.
Nimemaliza kusoma. Definitely enjoyed this one na ningependa kusoma kazi nyingine za Kwei Quartey.

Ulivoandika ulipenda njia aliyotumia Efia kumaliza tatizo kila nikisoma nikawa sioni atakuwa alifanya nini. Nilivyofika hapo mahali nimecheka sana hata kama ni mimi ningefanya hivo hivo. Ni aibu sana baba kumfanyia vile mtoto wake.

Pia nimependa namna mwandishi amejaribu kuonesha kwenye familia wakiwa hawapati mtoto linaonekana tatizo ni la mwanamke huku wanaume wakiamini kabisa hawana tatizo.

Mwisho wake ni mwisho ambao sikuutegemea, sikutegemea Osewa akubali kirahisi namna ile but very intriguing so far.
 
Efia alinifurahisha sana, i liked her. She went to the root of the problem. No penis no trokosi. Unajua hii mila ya Trokosi bado ipo sana huko Afrika magharibi. Kwa kwetu hapa sijui kama ipo.

Yes. Na hadi leo bado watu wengi wana mtazamo kuwa mimba ni suala la mwanamke solely. Inaenda mbali zaidi kwa utakaji wa mtoto wa kike. Nina marafiki zangu, kama wawili, wametafuta wanawake wa pembeni, sbb tu wake zao hawapati watoto wa kiume. Fun thing, mmoja mchepuko wake mimba kazaa mapacha wakike. [emoji28]

Osewa simkumbuki, alikuwa nani, na alikubali nini?

Katika 'mawazo ya kipuuzi', kuna muda niliona Darko angemchapa Efia. Sema kama ile taarifa ya yule god mwenyewe (simkumbuki jina) kuwa HIV+ kama ilimsitishia zoezi.

Kuendeleza kitabu kingine, soma series ya pili ya insp Darko, children of the street, kina mengi ya kufunza hasa elimu ya ritual killings.
 
Auntie Osewa alikuwa Aunt wa Darko ambapo yeye ndiye aliemuua Gladys na Beatrice (Mama wa Darko) kwa kile kinasemekana ni "wivu wa mapenzi".

Hapakuwa na ushahidi wowote wa yeye kuwa muuwaji au hata Isaack. Lakini bado akakubali. Aliniuzi kweli.

Alikuwa anaitwa Togbe. Lakini Efia alipimwa na Gladys na majibu yalikuwa mazuri. Ila mimi ninawaza kama huyu Togbe alikuwa anatembea na wanawake ambao hawajawahi kujihusisha kimapenzi inawezekana kwamba mmoja wa wake zake alikuwa msaliti au aliupata kwenye njia nyingine.

Thank you nitarudi kusoma ila kwa sasa nahama kidogo nasoma "The Bomber Mafia" By Malcolm Gladwell.
 
Oh, story yote ya hiyo novel imekuja kichwani. Osewa ndiye aliyemuua Gladys na Mama Darko, and as you say wivu wa mapenzi. Osewa alikuwa 'mwehu' kwa Isaac. Na mambo yote kwenye hiki kisa yalianza pale Isaac alipomshika tumbo Osewa, Osewa akachanganyikiwa na kuwa 'mwehu' kwa Isaac.

Kilichoipa uzuri hii Riwaya ni suspense ya story yenyewe. Kila suspect alikuwa na strong motive inayoshawishi kuwa ni muhusika. Kuna somo kubwa sana kuhusu upelelezi wa Darko—Paying attention to small details.

Ni kisa ambacho kwa kweli, kina uhalisia sana, haya mambo yanatokea sana. Turns out Mapenzi na Pesa ni wauaji wakubwa sambamba na dini.

Hawa mabinti walikuwa ni bikra kabla hawajatolewa, so yawezekana ni kuwa wanazaliwa wameathirika [ambayo siipi nguvu sana kwa sababu kwa Mazingira ya vijijini na hawatumii dawa za kudhibiti maambukizi, maana yake afya zao zingekuwa mgogoro katika makuzi yao], hawa njia kubwa ni kuchepuka. Ukiwa kwenye ndoa ya kulazimishwa utachepuka tu, it human nature.

Enjoy The Mafia.
 
Asante, lakini haimaanishi kwamba sisomi, My Next Thirty Years.
Ambavyo nimesoma na kuvipenda ni vingi sana ila nakuandikia ninavyokumbuka.

Robert Kaplan's "The Revange of Geography"
Mark Kurlansky's "Salt :A Word History" .
Owen Gingerich's "The Book Nobody Read".
Paul Kennedy's "The Rise and Fall of the Great Powers" .
Paul Kennedy's "The Parliament of Man: The Past, Present, and Future of The United Nations".
John Toland's The Rising Sun: The Decline and Fall of the Japanese Empire, 1936-1945".
"Why Nations Fail" by Daron Acemoglu and James A. Robbison.
Ian Morris' "Why the West Rules For Now"
The Map That Changed the World by Simon Winchester.
Yuval Noah Harari's Sapiens: A Brief History of Humankind.
The Ancestor's Tale by Richard Dawkins.
Tim Marshall's Prisoner of Geography .

The Book Nobody Read
 
Oh, story yote ya hiyo novel imekuja kichwani. Osewa ndiye aliyemuua Gladys na Mama Darko, and as you say wivu wa mapenzi. Osewa alikuwa 'mwehu' kwa Isaac. Na mambo yote kwenye hiki kisa yalianza pale Isaac alipomshika tumbo Osewa, Osewa akachanganyikiwa na kuwa 'mwehu' kwa Isaac.

Kilichoipa uzuri hii Riwaya ni suspense ya story yenyewe. Kila suspect alikuwa na strong motive inayoshawishi kuwa ni muhusika. Kuna somo kubwa sana kuhusu upelelezi wa Darko—Paying attention to small details.

Ni kisa ambacho kwa kweli, kina uhalisia sana, haya mambo yanatokea sana. Turns out Mapenzi na Pesa ni wauaji wakubwa sambamba na dini.

Hawa mabinti walikuwa ni bikra kabla hawajatolewa, so yawezekana ni kuwa wanazaliwa wameathirika [ambayo siipi nguvu sana kwa sababu kwa Mazingira ya vijijini na hawatumii dawa za kudhibiti maambukizi, maana yake afya zao zingekuwa mgogoro katika makuzi yao], hawa njia kubwa ni kuchepuka. Ukiwa kwenye ndoa ya kulazimishwa utachepuka tu, it human nature.

Enjoy The Mafia.
Upo sahihi mwandishi ametumia akili kubwa sana. Amefanya tuamini kwamba watu wengine wanaweza kuwa wauwaji halafu ajabu muuwaji kaja kuwa ni mtu ambaye hauwezi kudhani.

Thank you. Unapenda novel za War/ Military?
 
Sijawahi kusoma riwaya za maudhui hayo, so sijui kama nazipenda au la.

Niambie chochote kuhusu hizo riwaya.
 
Umenitoa mate. Napenda mambo haya. Hebu nipe mapendekezo tafadhali.
If you are ready to spend weeks on a book, that is more than 1,000 pages, then The Rise and Fall of the Third Reich by William L. Shirer, is a book that needs to be read for anyone looking to dive deeper.
Pia , The Bomber Mafia (my current read), I highly recommend it.
 
Mwaka majuzi nilitaka kuzisoma hoja za Great man theorists, so nikajukuta namsoma Hitler na kukisoma hiki kitabu cha Shirer, nilichukua muda mrefu kukimaliza, nadhani miezi mitatu. As you say, it's a must read book.

Bomber mafia, next year nitakisoma, Yaelekea ni kizuri.
 
Hello! Tafadhali naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata kitabu kinaitwa The Wisdom of the Wild kimeandikwa na Bimbo Akinjokun. Paula Paul na @wenginewote.
 
If you are ready to spend weeks on a book, that is more than 1,000 pages, then The Rise and Fall of the Third Reich by William L. Shirer, is a book that needs to be read for anyone looking to dive deeper.
Pia , The Bomber Mafia (my current read), I highly recommend it.
Muongezee na Half a yellow sun cha Chimamanda.
 
Nimemaliza Silmarillion, kazi nzuri kutoka kwa Tolkien. Amazon prime wamenunua haki za kutengeneza series ya season tano juu ya matukio ya kwenye Silmarillion, kuanzia second age. Natumaini itakuwa bomba sana. Wazitendee tu haki zile battles(Dagor😀😀). Wamelipa 250m usd kupata hiyo haki!!!

Nimeanza kusoma Lord of the flies. Kitakuwa cha mwisho mwaka huu. Nimetamani kukisoma siku nyingi sana.
 
Mwaka majuzi nilitaka kuzisoma hoja za Great man theorists, so nikajukuta namsoma Hitler na kukisoma hiki kitabu cha Shirer, nilichukua muda mrefu kukimaliza, nadhani miezi mitatu. As you say, it's a must read book.

Bomber mafia, next year nitakisoma, Yaelekea ni kizuri.
Ila umesema haujawahi kusoma. Nitakupa adhabu.
 
Back
Top Bottom