Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Nataka nianze kusoma( actually mimi nasikiliza audiobook) kitabu cha Brief History of time cha stephen.
Kunaambae ameshakipitia angalau anipe clue hapa kidogo. Mana ninacho MWAKA wa 3 sasa na motive ya kukipitia sina kabisa.
 
Pia naomba kuitishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚PDf or any electronic fomart ya kamusi ya sanifu ya kiswahili. Naitajika sana hii
 
Mkuu habari?

Naomba nisaidie kupata hiki kitabu.

Levitation and Invisibility.
By, Commander X & Tim R. Swartz.
 
Naomba hicho cha "The setup" Softy copy
 
Habari, mwenye pdf ya kitabu hiki naomba anisaidie RS Aggarwal Quantitative Aptitude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…