Kuna vitabu vya literature nilisoma O'level vilinijengea hobby kipindi hicho......huenda nilivyo opt kusoma science nilikosa continuation, hebu tupia hapa vile unavyoamini vinaweza kufufua hobby yangu angalau viwe na kurasa chache.Well, if you say so!
Not sure what you are into, naweza nikakupa kitabu ndiyo kikakufanya uchukie kusoma kabisa.Kuna vitabu vya literature nilisoma O'level vilinijengea hobby kipindi hicho......huenda nilivyo opt kusoma science nilikosa continuation, hebu tupia hapa vile unavyoamini vinaweza kufufua hobby yangu angalau viwe na kurasa chache.
Hahaha.....you may recommend to me anything interesting.....sina hata muda wa kuangalia movie, sijui series na stories. Labda hii ni hobby yenu zaidi ladies.....so if one is accompanied with ladies like you ndo anaweza kupata hobby kama hizi.Not sure what you are into, naweza nikakupa kitabu ndiyo kikakufanya uchukie kusoma kabisa.
Can you tell me some genres or topics you’re interested in? Sort of stories do you like hata ukiangalia movies?
Hello Paula PaulHello Uujn.
Jaribu hii halafu uniambie.
Hiki kitabu naona kipo chini ya MB moja lakini kina page 500+. Sijui kwanini.
Mimi nnaerecommend try out kitabu kinaitwaMkuu hebu nitupie hapa kitabu kimojawapo unachoamini kabisa kinaweza kubadili mtazamo wangu kabisa kuhusu kusoma hizi novel.......wakati nipo O'level nilisoma zile novel 'Things fall apart', 'no longer at ease' nafikiri zilinijengea hobby fulani maana zinaelezea kama life experiences za watu wa jamii fulani. It is equivalent na kuangalia movie, so it is a nice thing...
Shukrani mkuu, nafikri naweza kupata a good starting point...Mimi nnaerecommend try out kitabu kinaitwa
1. The Monk Who Sold his Ferrari by Robin Sharma
2. The Alchemist by Paul Coelho
3. Atomic Habits by James Clear
The Monk Who Sold his Ferrari kitakua boring mwanzoni but ukifika katikati hutatamani kiishe😅... Ukipata mda pitia pitia Kuna watu wanamadini mkuu... At least one chapter a day.... Try them✊🏿
1. the reachest man in babylonMkuu hebu nitupie hapa kitabu kimojawapo unachoamini kabisa kinaweza kubadili mtazamo wangu kabisa kuhusu kusoma hizi novel.......wakati nipo O'level nilisoma zile novel 'Things fall apart', 'no longer at ease' nafikiri zilinijengea hobby fulani maana zinaelezea kama life experiences za watu wa jamii fulani. It is equivalent na kuangalia movie, so it is a nice thing....
Poa mkuu ngoja nitajaribu kuvitafuta...1. the reachest man in babylon
2. the alchemist
anza na hivo utanishukuru baadae.....
Ihayabuyaga, Zlibrary is gone. Its Domain has been seized by the U.S Authorities.Paula Paul can I have a book "After 4.30" by David Mailu? And of course, any other book by the same author
Man's Search for Meaning by Viktor Frankl. Kina kurasa 90 kama sikosei.Hahaha.....you may recommend to me anything interesting.....sina hata muda wa kuangalia movie, sijui series na stories. Labda hii ni hobby yenu zaidi ladies.....so if one is accompanied with ladies like you ndo anaweza kupata hobby kama hizi.
Pole sana. Ila inawezekana kwako ndiyo kinashindwa kufunguka. Umejaribu ku update pdf reader yako?Hello Paula Paul
Bado shida ni ile ile...! Kama kuna mtu anaweza kutusaidia itakuwa vizuri
OK, kama unacho itakuwa poa kuniwekea.....otherwise nitakitafuta.Man's Search for Meaning by Viktor Frankl. Kina kurasa 90 kama sikosei.
[emoji23][emoji23]utani wa Ngumi huu...Kuanza kusoma hadithi za kusadikika kurasa 450 ni kupoteza muda na energy........
Kaka nisaidie vinavyohusu siasa kama unavyo.1: Bible,
2: Before you do,
3: 48 laws of power,
4: Long Walk To Freedom,
5: Dreams From My Father.
6 ...........
By the way nimesoma alots of books kwenye kila nyanja biashara,siasa,dini the reason ni kuwa na uelewa wa mambo yote yanayofocus kwenye jamii na maisha ya kila siku vitabu nilivyosoma vinafika 200 na zaidi.