Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #3,221
Wakati natafuta hiki kitabu niliona wanasema ni "it's a children's book".Ni must read. Ni kitabu cha watu wazima kilichoandikwa kwa mtindo wa kitoto. Biblia ndiyo kitabu kilichotafsiriwa zaidi duniani. Cha pili ni hiki.
Ila wakati nasoma nikawa nawaza kinakuwaje cha watoto huku nikiona ni kigumu kwa watoto kuelewa.
Okay, nilikisoma. Was a short read and it worth reading. Thank you.