Sijasema ni Utajiri bali PREREQUISITE. Rejea maneno ya mwandishi kuhusu Saving na Utajiri.Savings haimaanishi ndio utajiri, sa utatajirikaje kwa pesa ambayo imekaa tu kama inasubiri kujifungua
I see you! ☺️Ubahili🙄 yani ukisema ubahili mi nahisi ni ile ya kipare 🤣🤣🤣 kula ugali na mchudhi halafu hela umeweka kibindoni, mi nadhani ishu sio ubahili bali tu matumizi mazuri na nidhamu kwenye hela baaas
Tusome wote,More books please
Tuma pdf yake mkuuTusome wote,
Atlas of the Heart: Mapping Meaningful Connection and the Language of Human Experience by Brené Brown kama bado haujakisoma. Ila sina PDF yake.
Savings haimaanishi ndio utajiri, sa utatajirikaje kwa pesa ambayo imekaa tu kama inasubiri kujifungua
Atomic habits ninacho ila sijaanza kukisoma....Evelyn Salt uliulizia Self help books, have you ever tried, Atomic Habits na Ikigai?
Humo ndani Dr alikua anapiga andha kanoon to job ili afanye savings 😁, anyway nimejifunza na nitajifunza savings ila hiyo kujitesa hapana najitahidi nicontrol matumiziSijasema ni Utajiri bali PREREQUISITE. Rejea maneno ya mwandishi kuhusu Saving na Utajiri.
BUT I SHOULD READ THE BOOK FIRST
Mdogo mdogo umeanza kuelewa.....usisahau deal, nakupa namba ya kutuma chap ya kutolea nmekusameheI see you! ☺️View attachment 2820935
READ IT. AGAIN, READ IT. KITAKUFAA SANA KWENYE JITIHADA ZAKO ZA KUJENGA UTAMADUNI WA NIDHAMU YA FEDHA. PRAGMATIC BOOK. Mimi kimenisaidia sana kujiboresha.Atomic habits ninacho ila sijaanza kukisoma....
It doesn't seem! It's forever SetsukoGood to see you again. Oh, it seems like forever, Vers.
Sijajua kwa nini. Pengine Malcom X mwenyewe kuna watu aliamua kutowataja au mwandishi(Alex Haley) aliamua kutoa baadhi ya watu kama ambavyo anadaiwa kutoa baadhi ya mambo maana kitabu kilichapwa baada ya malco X kufa.Kwenye series ya The Godfather of Harlem, imeonekana kuwa Malcom X na jamaa, Johnson, walikuwa ni watu wenye kusaidiana sana, infact Johnson ndio ametoa mchango mkubwa kwenye maisha Johnson, na ukisoma hata wamarekani weusi wengi wanakubaliana na hili, kwanini kwenye Autobiography, amekuwa ignored kabisa?
Ok. Hivi huyu Harvey alikuwa ni nani hasa?Sijajua kwa nini. Pengine Malcom X mwenyewe kuna watu aliamua kutowataja au mwandishi(Alex Haley) aliamua kutoa baadhi ya watu kama ambavyo anadaiwa kutoa baadhi ya mambo maana kitabu kilichapwa baada ya malco X kufa.
Asee kama haujapata madini kwenye hiki kitabu nakushauri ukasome kitabu cha SITASAHAU GAMBOSHI NA BIBI ANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU 🤣🤣🤣
Pengine The Expanse na Three-body problem zitakufaa pia.The Hunger Games and its sequel, Catching Fire and Mocking Jay.
Mtu mweusi msomi kutoka familia ya kisomi hivi. Alianza kazi kwenye Coast Guards, alifanya miaka 20. Sehemu kubwa akifanya kama muandishi. Alipostaafu akaendelea na kazi za uandishi. Kuna mchapishaji alimuomba aandike kitabu kuhusu maisha ya Malcom X. Kwenye kazi hiyo wakatokea kuwa marafiki wakubwa sana. Alex Haley ni maarufu sana kwa kuandika kitabu cha Roots(Hadithi ya Kunta Kinte), kitabu hicho kimetafsiriwa kwa kiswahili kinaitwa Asili.Ok. Hivi huyu Harvey alikuwa ni nani hasa?
Ahsante sana nitakisomaREAD IT. AGAIN, READ IT. KITAKUFAA SANA KWENYE JITIHADA ZAKO ZA KUJENGA UTAMADUNI WA NIDHAMU YA FEDHA. PRAGMATIC BOOK. Mimi kimenisaidia sana kujiboresha.
Sina PDF, Al Watani.Tuma pdf yake mkuu
I know right, I was on a space mission in Mars!!It doesn't seem! It's forever Setsuko
..you didn't keep your wordView attachment 2821180
I hop you landed safety from Mars Your sorry is not accepted though.I know right, I was on a space mission in Mars!!
Just kidding, I am sorry, Seita.