Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Ubahili🙄 yani ukisema ubahili mi nahisi ni ile ya kipare 🤣🤣🤣 kula ugali na mchudhi halafu hela umeweka kibindoni, mi nadhani ishu sio ubahili bali tu matumizi mazuri na nidhamu kwenye hela baaas
I see you! ☺️
Screenshot_20231121-183442.jpg
 
Savings haimaanishi ndio utajiri, sa utatajirikaje kwa pesa ambayo imekaa tu kama inasubiri kujifungua

Saving ni sehemu ya utamaduni wa mali.

Msingi wake ni kutumia kidogo kuliko unachopata.

“The road to wealth is as plain as the way to the mill. It simply consists of expending less than you earn”. .....” a penny there, a dollar there, put on interest keep accumulating”.(P T Barnum: The Art of Getting Money).
 
Kwenye series ya The Godfather of Harlem, imeonekana kuwa Malcom X na jamaa, Johnson, walikuwa ni watu wenye kusaidiana sana, infact Johnson ndio ametoa mchango mkubwa kwenye maisha Johnson, na ukisoma hata wamarekani weusi wengi wanakubaliana na hili, kwanini kwenye Autobiography, amekuwa ignored kabisa?
Sijajua kwa nini. Pengine Malcom X mwenyewe kuna watu aliamua kutowataja au mwandishi(Alex Haley) aliamua kutoa baadhi ya watu kama ambavyo anadaiwa kutoa baadhi ya mambo maana kitabu kilichapwa baada ya malco X kufa.
 
Ok. Hivi huyu Harvey alikuwa ni nani hasa?
Mtu mweusi msomi kutoka familia ya kisomi hivi. Alianza kazi kwenye Coast Guards, alifanya miaka 20. Sehemu kubwa akifanya kama muandishi. Alipostaafu akaendelea na kazi za uandishi. Kuna mchapishaji alimuomba aandike kitabu kuhusu maisha ya Malcom X. Kwenye kazi hiyo wakatokea kuwa marafiki wakubwa sana. Alex Haley ni maarufu sana kwa kuandika kitabu cha Roots(Hadithi ya Kunta Kinte), kitabu hicho kimetafsiriwa kwa kiswahili kinaitwa Asili.
 
Back
Top Bottom