Interesting. Kunta kinte, niliiona Movie zake. Hivi hiki ni Kisa cha kweli? Sikujua kama ameandika Harvey.Mtu mweusi msomi kutoka familia ya kisomi hivi. Alianza kazi kwenye Coast Guards, alifanya miaka 20. Sehemu kubwa akifanya kama muandishi. Alipostaafu akaendelea na kazi za uandishi. Kuna mchapishaji alimuomba aandike kitabu kuhusu maisha ya Malcom X. Kwenye kazi hiyo wakatokea kuwa marafiki wakubwa sana. Alex Haley ni maarufu sana kwa kuandika kitabu cha Roots(Hadithi ya Kunta Kinte), kitabu hicho kimetafsiriwa kwa kiswahili kinaitwa Asili.
Yeah, I have just returned to the Earth safe and sound.I hop you landed safety from Mars Your sorry is not accepted though.
I'm glad to hear you're doing just fine Madam.Yeah, I have just returned to the Earth safe and sound.
Ngoja nikupe hii Manga inaitwa, I Saw It: A Survivor's True Story of the Atomic Bombing of Hiroshima by Keiji Nakazawa . Kinafanana na ile ya “Grave of the Fireflies“. Utakipenda japo haupendi huzuni.
Pia ina movie yake Barefoot Gen (1983). Umewahi kuiona?
Thank you Seita.I'm glad to hear you're doing just fine Madam.
No sijaichek na it's my first time to hear it. Muvi nitaitafuta but kitabu No, nishaban kusoma vitu vya kuhuzunisha. Hata hiyo muvi nitaiangalia bcoz of you Setsuko 😘😘
Umetazama final Ep ya Attack On titan, it's so breathtaking
Pengine The Expanse na Three-body problem zitakufaa pia.
Humo ndani Dr alikua anapiga andha kanoon to job ili afanye savings [emoji16], anyway nimejifunza na nitajifunza savings ila hiyo kujitesa hapana najitahidi nicontrol matumizi
" A man who spends and save the money is the happiest man, because he has both enjoynments" moja kati ya quote iliyopo ndani ya hicho kitabu.Naam.
Usijitese Evelyn. Kuweka akiba haina maana ya kuwa ule ugali kwa chumvi.
Huo ubahili wa Wapare sio ku -save, ni kuwa misers.
Ingawa nadhani hizo ni stories zinazotokana na utani wao na wachagga.
Otherwise watu wote wenye utamaduni wa kutafuta pesa kwa bidii ni waangalifu sana kwenye matumizi(thrifty).
Kuanzia wayahudi na wahindi mpaka Wakinga!
" A man who spends and save the money is the happiest man, because he has both enjoynments" moja kati ya quote iliyopo ndani ya hicho kitabu.
Nipo kwenye lesson ya kujifunza matumizi Mungu anitie nguvu [emoji16]
Atlas of The Heart.Tuma pdf yake mkuu
Young-Adult genre! Nielimishe juu ya hii!Hello Bookworms.
I am currently reading Patrick Ness’ Chaos Walking Trilogy . I am not far along ndio nimemaliza the first book “The Knife of Never Letting Go” and almost everything about this book is wonderful. I couldn’t put the book down. I knew I needed to sleep but I just physically couldn’t put it down.
Guys, Patrick Ness Ni miongoni mwa waandishi wazuri sana wa Young-Adult genre. He may not be the greatest but he’s really special.
I have read some of his books (The Rest Of Us Just Live Here and A Monster’s Call) So Yeah, he is the most enjoyable author for sure. I love Patrick Ness and his writings.
I’m really excited to read the next two books (The Ask and The Answer and Monsters of Men)
I just wanted to share!!
Inamaanisha the target audience for the book ni teenagers (13-18 years). Ila kiukweli YA is just a marketing tool kwa sababu vitu vya wakubwa vinaandikwa kule kama mapenzi, Violence ila wanajitahidi visiwe Graphic, Wildlifer.Young-Adult genre! Nielimishe juu ya hii!
Safi sana! Bora hukuendelea kusoma kisichokusaidia.Sijawahi kuvisoma, ila sijui ni hicho cha gambosh nilisoma tu page moja mwandishi kaandika "nikaliaa wee nikalia weeee" nikaona ujinga huu sikuendelea🤣🤣
Savings ni mwanzo wa kuelekea kwenye utajiri. Kadiri unavyoweka akiba, ndivyo utakavyohamasika kutafuta hela nyingi zaidi. Na siyo ajabu, akiba uliyoiweka inaweza kutumika kuanzishia mradi utakaokuja kukuingizia kipato kikubwa sana cha kukufanya kuwa tajiri.Nimeishia kwenye page ya kwanza tu.
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa kitabu kina madini. Lakini they're not realistic. Utajiri hauji kwa kufanya saving. Ni hadaa tu. Ndio maana siku hizi vitabu vya hivyo nilishachoka kuvisoma. Ukweli wa Utajiri hausemwi vitabuni.
Oh asante.Inamaanisha the target audience for the book ni teenagers (13-18 years). Ila kiukweli YA is just a marketing tool kwa sababu vitu vya wakubwa vinaandikwa kule kama mapenzi, Violence ila wanajitahidi visiwe Graphic, Wildlifer.
Huo umri ni wa teenagers. Katikati ya utoto na ukubwa. Wana utoto na ukubwa ndani yao, IMO.Oh asante.
The name is interesting though! Young-Adults sound like 'Upper Third Class'😁.
I thought inajumuisha watu wazima na watoto. I find it hard to comprehend why call them Young-Adults while under 18 is still a minor!
Huna pdf zake mkuuHello Bookworms.
I am currently reading Patrick Ness’ Chaos Walking Trilogy . I am not far along ndio nimemaliza the first book “The Knife of Never Letting Go” and almost everything about this book is wonderful. I couldn’t put the book down. I knew I needed to sleep but I just physically couldn’t put it down.
Guys, Patrick Ness Ni miongoni mwa waandishi wazuri sana wa Young-Adult genre. He may not be the greatest but he’s really special.
I have read some of his books (The Rest Of Us Just Live Here and A Monster’s Call) So Yeah, he is the most enjoyable author for sure. I love Patrick Ness and his writings.
I’m really excited to read the next two books (The Ask and The Answer and Monsters of Men)
I just wanted to share!!