Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Naomba kitabu hiki tafadhali wakuu
Screenshot_20240128-180820.jpg
 
Sasa nipo na kitabu cha bwana dale carnegies.

Hahahhahah mzigo unaenda kwa jina la HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLES.

vipi utawaweza watu unaoishi nao na ukaweza kuwashawishi katika mambo mbali mbali ama uwatumie kwa faida yako ?

bwana huyu katika kitabu hiki ametoa dondoo kadha wa kadha ambazo tukizifuata zitatuepusha na migogoro mingi.

Na tukizitumia kanuni hizo zitatufanya tujue namna ya kuishi na watu na pia kuwafumia watu kwa faida yetu sisi.

kitabu bora sana hiki kwangu maana kina nondo nzuri sana.

Moja ya mafundisho bayo nayapenda kutoka katika kitabu ni ile isemayo kwamba tuangalie na tujue mtu anataka nini then yukimpa anachotaka nasi tutapata tunachotaka kutoka kwake,kamwe tusizungumzie tinayoyataka sisi tuuu kwani hakuna mtu anajali wewe unataka nini bali kila mtu anajali yeye anataka nini na atapata nini.

Hii ya kujua mtu anataka nini ni muhimu sana maana huwa naitumia kwa mwanangu mdogo wa miaka mi3 ambaye kwa wazazi wengine wangelikuwa wanatumia viboko kumfahamisha.
 
Nasoma Emotional intelligence kina fikirisha sana japokuwa siyo my Fav book!

"The 7 habits of highly effective people" this is my fav. Kwanza nilipewa na M-kaka Fulani hivi, miaka 5 iliyopita na mpaka Leo hatujawahi hata kutiana maana tunapendana balaa, bahati nzuri kila mtu anafamilia yake, kwahyo tunaheshimiana hapo

Pili, ni Kitabu kizuri sana kinachoelezea tabia za mafanikio nk.
 
Naomba dondoo ya hiko cha emotional intelligence kinazungumzia nini
 
SHEIKH ISSAH OTHMAN ISSA AZINDUA KITABU ALICHOTAFSIRI KILICHOANDIKWA MWANZO KTK KIARABU NA IMAM Al-NAWAWI : HADITHI 40

View: https://m.youtube.com/watch?v=4gBtlbM_3vQ

Jaji mkuu professor Ibrahim Juma
atia neno umuhimu wa kitabu hicho ambacho mtanzania Sheikh Issah Othman Issa amekitafsiri kutoka lugha ya Kiarabu kilichoandikwa na Imam Al-Nawawi 40 hadith karne 7 zilizopita , huku maudhi yake yakisimama hadi leo dunia tuliyopo hivyo na Sheikh Issa sasa kufanya tafsiri katika lugha ya Kiswahili ill watanzania waweze kukisoma.
Al-Nawawi · Syrian Sunni Shafi'ite jurist and hadith scholar (born : 1233– died :1277)
Sheikh Issa asisitiza kusoma kitabu huongeza umakini kuliko kusikiliza audio maana teknolojia huiba umakini. Mufti wa Tanzania na sheikh Suleiman Kilemie walimtia nguvu mwandishi mtafsiri ili kukileta kwa waislamu ambao wengi lugha ya kiarabu ni mtihani mkubwa na hivyo tafsiri hii kwa kiswahili itawafaidisha wengi ikiwemo pia na wasio waislamu.

THE 40 HADITH OF IMAM NAWAWI The Forty Hadiths of Imam al-Nawawi is a compilation of Hadiths that have been valued and studied continually for the last seven centuries. They comprise of the essential hadiths that cover most aspects of Islam.This video series to be released on YouTube each Thursday presents itself as a rare opportunity for us to gain knowledge from one of the greatest scholars of our time. Shaykh Muhammad Al-Yaqoubi’s students travel thousands of miles to study under him; now we are blessed to have the opportunity to learn from him in the comfort of our homes.
 
SHEIKH ISSAH OTHMAN ISSA AZINDUA KITABU ALICHOTAFSIRI KILICHOANDIKWA MWANZO KTK KIARABU NA IMAM Al-NAWAWI : HADITHI 40

View: https://m.youtube.com/watch?v=4gBtlbM_3vQ

Jaji mkuu professor Ibrahim Juma
atia neno umuhimu wa kitabu hicho ambacho mtanzania Sheikh Issah Othman Issa amekitafsiri kutoka lugha ya Kiarabu kilichoandikwa na Imam Al-nawawi 40 hadith karne 7 zilizopita , huku maudhi yake yakisimama hadi leo dunia tuliyopo hivyo na Sheikh Issa sasa kufanya tafsiri katika lugha ya Kiswahili ill watanzania waweze kukisoma.

Sheikh Issa asisitiza kusoma kitabu huongeza umakini kuliko kusikiliza audio maana teknolojia huiba umakini. Mufti wa Tanzania na sheikh Suleiman Kilemie walimtia nguvu mwandishi mtafsiri ili kukileta kwa waislamu ambao wengi lugha ya kiarabu ni mtihani mkubwa na hivyo tafsiri hii kwa kiswahili itawafaidisha wengi ikiwemo pia na wasio waislamu.

THE 40 HADITH OF IMAM NAWAWI The Forty Hadiths of Imam al-Nawawi is a compilation of Hadiths that have been valued and studied continually for the last seven centuries. They comprise of the essential hadiths that cover most aspects of Islam.This video series to be released on YouTube each Thursday presents itself as a rare opportunity for us to gain knowledge from one of the greatest scholars of our time. Shaykh Muhammad Al-Yaqoubi’s students travel thousands of miles to study under him; now we are blessed to have the opportunity to learn from him in the comfort of our homes.

Duh
 
Back
Top Bottom